PostGE2025 Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamano

PostGE2025 Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
pale ambapo nyumbu inajaribu kumchalenge binadamu ili kuona kama wanafanana! Buree kabisa!
Toka lini 'nguruwe' akwa "mwanadam"?
Wewe hapa hutambui kuwa ni nguruwe unayefugwa na Samia ili upate makombo ya chakula uendelee kunenepa?

Hali yako hii unajiona ni ya kujivunia kweli?
 
pale ambapo nyumbu inajaribu kumchalenge binadamu ili kuona kama wanafanana! Buree kabisa!
Kenge moja imekurupuka kutoka huko Lumumba inakuja hapa kutupigia kelele. Achana nayo mkuu.
 
Mimi mke wa mdogo wangu alikuwa anatoka getini amwage uchafu, ile anafungua geti mlango mdogo hata hajatoka nje akakutana na risasi ya kifua, hawakuridhika wakampiga na ya kichwa. Na ndo kwaanza aliolewa mieiz 3 haijaisha
 
Very sad. Hii ni nchi ya kigaidi.
 
Haya maandamano kama polisi wasingeua watu pengine muda huu watu hasira zingelikua zimeisha na tumesahau ila kitendo cha kuua watu kimeamsha hasira ya hata wale waliokua hawayaungi mkono.
 
Back
Top Bottom