Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Huyu washamzika?Na alituombea kifo wote tusiompigia kura mama samia
Nataka nikashiriki kula ubwabwa wake
Huyu washamzika?Na alituombea kifo wote tusiompigia kura mama samia
Amina nachokwambia CCM ilichokwa mpaka nguo zikawa zinachomwa ila ilifufuka tena.... Kama si serikali ni nani anaepaswa kufanya Reforms???Kuisubiri serikali ifanye reforms zinazowanufaisha wananchi ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege. Kumbuka kuwa haki haiombwi bali hupokonywa hata ikibidi kwa kumwaga damu.
Kusema kuwa CCM itajipanga 2030 wakati roho za maelfu ya watanzania zimepotea ni kujidanganya. Hakuna kitu kinachoweza kuwasahaulisha watanzania kuhusu haya mauaji haya ya kimbari.
Hiki walichofanya CCM ni sawa na kutega bomu. Siku likilipuka hakuna atakayebaki salama.
Reforms zinatakiwa zifanywe na umma. Kazi ya serikali ni kuziingiza hizo reforms kwenye mfumo wa utawala. Hakuna hata siku moja utaitegemea serikali ifanye reforms zinazonufaisha umma. That will never happen mkuu.Amina nachokwambia CCM ilichokwa mpaka nguo zikawa zinachomwa ila ilifufuka tena.... Kama si serikali ni nani anaepaswa kufanya Reforms???
Kwa hiyo unataka Samia naye aendelee kutawala kimabavu hata baada ya kumwaga damu za maelfu ya watanganyika? Si aende akatawale kule kwao Zanzibar? Kwanini analazimisha kuwatawala watanganyika wakati hawamtaki? Wewe unaona huu ndio utawala wa sheria mkuu?Vipi kwenu huko Rwanda mauaji ya kimbari bado mnayakumbuka? Mbona Kagame bado anatawala wakati wanasema ndie alisababisha mauaji hayo?
Anatawala Tanzania acha ushithole wako hapa!Kwa hiyo unataka Samia naye aendelee kutawala kimabavu hata baada ya kumwaga damu za maelfu ya watanganyika? Si aende akatawale kule kwao Zanzibar? Kwanini analazimisha kuwatawala watanganyika wakati hawamtaki? Wewe unaona huu ndio utawala wa sheria mkuu?
Kidemokrasia umma unafanyaje ReformsReforms zinatakiwa zifanywe na umma. Kazi ya serikali ni kuziingiza hizo reforms kwenye mfumo wa utawala. Hakuna hata siku moja utaitegemea serikali ifanye reforms zinazonufaisha umma. That will never happen mkuu.
Hakuna kibaka wala gaidi aliyeenda huko. Mbona mikoa mingi tu hakukuwa na vurungu?Kuna mzanzibar aliyeuliwa kwenye haya mauaji yake ya kimbari? Mbona hatujasikia ndugu zake wakiuawa huko kisimkazi mkuu?
Kafie mbele hukoKumamayo
Kashazikwa tiariHuyu washamzika?
Nataka nikashiriki kula ubwabwa wake
Walimpiga za matako wakati anakimbilia ndaniWalimpiga coz alituchamba waandamanaji 😹😹
Polisi wengi walifanya hivyo ili kumponza boss wao achafuke zaidi, kuna mambo kuyaelewa ni ngumu km huna jicho la kuona mbali..!!
Polisi walitaka wananchi tuwe wengi kwenye maandamano sababu nao walichoka that’s why waliamua kuwapelekea moto huko huko 😹Hapa sijakuelewa mkuu, ukiachana na Sharif kada wa CCM kuna raia kibao ambao sio makada wa CCM na wala hawakuwa katika maandamano lakini wameuliwa pasipo na sababu zozote. Tena ni wengi mno
Hivi nyie kwa akili zenu mnafikiri polisi walipiga kwa bahati mbaya 😹😹Walimpiga za matako wakati anakimbilia ndani
MUNGU amrehemu
Watupe taarifa siku ya arobaini yake tukafinye cha mtume..!!Kashazikwa tiari
Ndio maana yake...Walipewa amri ya kuua kila raia wanayekutana naye hata watu waliokaa barazani kwao na familia zao?
📌📌📌📌polisi wa Tanzania hawana weledi kabisa wa kikazi.