Uvccm
This shit is scary😰😰Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.
Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa
View attachment 3503995
Uvccm, mama yenu haponiThis shit is scary😰😰
Uvccm, mama yenu hapoThis shit is scary😰😰
Uvccm
Wewe hata ICC huhitajiki, malinda walisha yafumua zamani sana umebakiza tobo tuu
Samuya atakua na mwisho mbaya kuliko mtu yoyote yuleMambo yameshakuwa mengi, kila siku anatokea shujaa mpya, Sasa hivi tupo na Habil & Kabil, Mange naye hajapoa. Tatizo madaraka yanalevya sana, hawa jamaa walidhani pesa ni kila kitu wakasahau kutumia akili. Ngoja wamalize kuteuana watulie ndo watajua huu mziki ni mzito kiasi gani!?,huwezi kuamuru watu wapigwe risasi hovyo ukabaki salama. Kabla ya hapo Oct 29 usaliti kwenye mifumo ulishakuwa mwingi sana, unadhani baada ya mauaji itakuwaje!?,waliouwawa ni ndugu wa haohao mapolisi, Tiss,JW, Takukuru etc,shida hawa watu reasoning capacity zao haziko sawa. Wamekosea sana hesabu.Naona mwisho wao ukikaribia kwa kasi sana.
Kwa kifupi mkoloni Kaburu toka Zanzibar kawatuma kmkm washirikiane na Polisiccm kuwapiga Risasi watanganyikaWakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.
Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa
View attachment 3503995
Utabiri wa marehemu sheikh Yahya unaenda kutimiaSamuya atakua na mwisho mbaya kuliko mtu yoyote yule
Hupati uteuzi, kwani wewe Bakwataccm na mashehe majini ubwabwa mnanuka Damu za watuThis shit is scary😰😰
Laana na kuwasomea Albadiri vihusike kwa nguvu kubwa sanaHawa watu lazima walipe huu uovu walioufanya.
Lazima walipe wallah!!