PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Dah wabongo bwana washaingizwa tena chaka na huyo Kabil. Nb msijiachie sana huko kwa Kabil. Mtaangamia!
Narudia msijiachie sana. Kwa uelewa wangu mdogo kabisa Kabil kaja kipindi hiki kwasababu maalum. Hizo sababu Wala si za kuwatetea majority Bali.....
Tulia wewe una mchango gn
 
Unajua kuna ICC ya UN..
na kuna ICC ya TEC
Kuna ICC ya hapa JF na kule TIK TOK

hapa unazungumzia ICC ipi?
 
Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.

1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.

Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa.

NB kama unatumia app ya jamiiforums ikigoma kufungua hii voice please fungua huo uzi kwa kutumia browser mfano Chrome

View attachment 3503995
Wameshaanza kukiri wakati mambo bado?
 
Kaka kosa kibwa
Nakuuliza huo ushahidi tuliouona umeletwa na huyo mpuuzi habili au ni wananchi wenyewe waliorekodi?
Akili kisoda mnashindwa kujibu swali dogo sana, tokea aanze kuongea upupu huko tiktok ameweka ushahidi gani mapaka sasa?
Mnakimbilia
 
Tiba na njia sahihi ya kuondokana na udhalimu wa maccm ni kuvunja muungano kwani kmkm kuua watanganyika ni sababu tosha ya kukataa muungano, njia mpya Tanganyika ipate uhuru wake ijiamulie mambo yake utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi vitakoma mara moja, huku Polisiccm ikifumuliwa na kuundwa upya itoke kuwa chawa wa maccm kuonea watu
Kaka tukivunja muungano itakua ngumu kuwashugulikia tulia kaka Hawa watadakwa taratibu
 
Back
Top Bottom