PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu ana ushahidi gani ?????
Aweke hapa tuanze kumuamini
Zaidi ya hapo ni mpumbavu tu mmoja anachota akili ndogo.....
Maiti zote zilizopo mwananyamala hospital huko Muhimbili ilala temeke Arusha mbeya mwanza na sehemu zingine Tanzania hukuziona? au kwa kuwa una Robo mbaya ya kishetani umejitoa fahamu zote, usikute wewe ndiyo ulikuwa ukipiga watu Risasi majumbani mwao
 
Tumeziona na tunaamini ni za kweli...
Je zinahusiana nini na huyu mpuuzi wa tiktok?
 
Acha kuvuta Bangi huko Gheto kwa maccm kisha kuja kusumbua watu kama hujaona picha za watu waliokufa kojoa ukalale maana huna fahamu kichwani
Nakuuliza huo ushahidi tuliouona umeletwa na huyo mpuuzi habili au ni wananchi wenyewe waliorekodi?
Akili kisoda mnashindwa kujibu swali dogo sana, tokea aanze kuongea upupu huko tiktok ameweka ushahidi gani mapaka sasa?
Mnakimbilia tuhuma
 
Hakuna swali hapo lakini jibu unalo na unajua ushahidi wa watu waliokufa upo iweje ukazane kuuliza swali ambalo majibu unayo tayari
 
Acha kuvuta Bangi huko Gheto kwa maccm kisha kuja kusumbua watu kama hujaona picha za watu waliokufa kojoa ukalale maana huna fahamu kichwani
Ni kawaida ya majibu ya akili ndogo
Mara unaitwa mvuta bangi, sijui uvccm, tafuta posti yangu hata moja humu nikiiitetea ccm
Kawaida wajinga hawapendi kuambiwa ukweli......
 
Hakuna swali hapo lakini jibu unalo na unajua ushahidi wa watu waliokufa upo iweje ukazane kuuliza swali ambalo majibu unayo tayari
Inaonekana huna hata bando la kumsikiliza...
Kama ungesikiliza anachosema ungenielewa....
Kwa hiyo hata hujui ninachotaka kujibiwa...
Ndio maana umekazana ubishi wa kiha bila kuwa na hoja
Unabisha tu ili mradi....
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho mwa mabaya ni Aibu kubwa, mkoloni kaburu toka Zanzibar kuwaua watanganyika kwa wingi sasa kazua hasira mpya muungano utavunjika, Tanganyika itapata Uhuru uchaguzi utafanyika upya itakuja Serikali safi nzuri isiyo na uonevu manyanyaso watesi wa kuteka kuua kuwabambikia wakosoaji kesi za uongo
 
Tiba na njia sahihi ya kuondokana na udhalimu wa maccm ni kuvunja muungano kwani kmkm kuua watanganyika ni sababu tosha ya kukataa muungano, njia mpya Tanganyika ipate uhuru wake ijiamulie mambo yake utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi vitakoma mara moja, huku Polisiccm ikifumuliwa na kuundwa upya itoke kuwa chawa wa maccm kuonea watu
 
Back
Top Bottom