Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 648
- 1,121
Maiti za kuzika azipoWatu elfu kumi na mtu mmoja kuuwa watu mia tatu??
Misiba ingekuwa almost kila mahali.
Maiti za kuzika azipoWatu elfu kumi na mtu mmoja kuuwa watu mia tatu??
Misiba ingekuwa almost kila mahali.
Sasa ushaidi wa kupelekwa icc unautaka wewe ? Unataka ufanyie Nini wakati hata hapa umekuja na id fake kama vipi nenda icc ukauangalie huko au mnataka mkawateke hao waliobakia ili mharibu kabisa?Inaonekana huna hata bando la kumsikiliza...
Kama ungesikiliza anachosema ungenielewa....
Kwa hiyo hata hujui ninachotaka kujibiwa...
Ndio maana umekazana ubishi wa kiha bila kuwa na hoja
Unabisha tu ili mradi....
Wewe Fala hata kirefu cha ICC hujui....hakuna MTU atapona mwakaniHuyu ana ushahidi gani ?????
Aweke hapa tuanze kumuamini
Zaidi ya hapo ni mpumbavu tu mmoja anachota akili ndogo.....
Yaani kweli na akili zenu mnamsikiliza huyo robot aliye tengenezwa kuwapumbaza akili ,hivi mpo serious kweli mnaaminishwa project kijinga kabisaKwishaaa habari ya Samuya.
Damu za ndugu zetu tena maelfu kamwe haziwezi kupotea bure
Kamwe shetani hajawahi kumshinda MUNGU.
Usikariri, watanzania wana watoto wengi wamewazaa kwa viuno vyao wako nje ya nchi wana uchungu na motherland licha ya wao kukulia huko kwa wazungu.Yaani kweli na akili zenu mnamsikiliza huyo robot aliye tengenezwa kuwapumbaza akili ,hivi mpo serious kweli mnaaminishwa project kijinga kabisa
Watanganyika wamepatikana 😭😭Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.
Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa.NB kama unatumia app ya jamiiforum ikigoma kufungua hii voice please fungua huo uzi kwa kutumia browser mfano Chrome
View attachment 3503995
Hujamuelewa..alimaanisha anataka achambue matako yakeHuo ushaidi wa biometrics unautaka wewe ufanyie Nini? Wewe ni icc? Wewe ishia kwenye picha tu huna cha kuchambua hapa
Aliposimama hapo mwanzoni na Host akaamuru watume virose rose 😅😅Huyu ana ushahidi gani ?????
Aweke hapa tuanze kumuamini
Zaidi ya hapo ni mpumbavu tu mmoja anachota akili ndogo.....
We darasa saba na primitive hauwezi kujua chochoteHuyu ana ushahidi gani ?????
Aweke hapa tuanze kumuamini
Zaidi ya hapo ni mpumbavu tu mmoja anachota akili ndogo.....
Mzee wa gesi haitoki hata Kwa bomba la pen hahahaha mammalia la mtwaraKwahiyo mkikaa na wapumbavu wenzenu wa TEC na kujazana ujinga unadhani kuna mwehu atakuja kukaa na kusikiliza upuuzi kama huo
Nini kinamzuia huyu jamaa kuweka ushahidi anao uimba kila mara. WWakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.
Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa.
NB kama unatumia app ya jamiiforums ikigoma kufungua hii voice please fungua huo uzi kwa kutumia browser mfano Chrome
View attachment 3503995