PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ili muharibu ushahidi,we umekua ICC,UVCCM ivi huwa mnaakili ya kuvukia barabara,mbona mnaonekana hamna akili kabisa
Nani anaweza haribu ushahidi anaoweka Mange na wengine online, yeye nini kunamzuia? Huoni unauziwa maneno bila ushahidi?
 
Nini kinamzuia huyu jamaa kuweka ushahidi anao uimba kila mara. W
Wewe endelea kulala Tu nonna bado upo kwenye TANZANIA Ile ya Miaka 60...
Tawala nyingi za kiafrica zinaangushwa Kwa njia nyingi Sana huwezi kujua huyu HABIL ni CIA au FBI.
Jiulize huo ushahidi wote kapata Kwa njia gani wakati hayupo hapa nchini? Wewe kama subiri uone mwisho wa mama yenu akiingia mahakamani the Hague
 
Watu elfu kumi na mtu mmoja kuuwa watu mia tatu??

Misiba ingekuwa almost kila mahali.
Hamnazo wewe. Miili imezikwa kwenye makaburi ya halaiki misiba itakuwaje kila mahali? Pamoja na miili kuzikwa kwenya makaburi ya halaiki kwani huoni hiyo misiba inayofanyika kwa wale baadhi waliofanikiwa kupatikana?
 
Hamnazo wewe. Miili imezikwa kwenye makaburi ya halaiki misiba itakuwaje kila mahali? Pamoja na miili kuzikwa kwenya makaburi ya halaiki kwani huoni hiyo misiba inayofanyika kwa wale baadhi waliofanikiwa kupatikana?
Wanajifanya hawajui kilichotokea
 
Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.

1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.

Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa.

NB kama unatumia app ya jamiiforums ikigoma kufungua hii voice please fungua huo uzi kwa kutumia browser mfano Chrome

View attachment 3503995
Halafu Bado tuna Watanganyika wenzetu (CCM) hawalioni hili kweli?
Damu hii pia iliyomwagika Ikanene juu ya familia za viongozi na wanachama wote wa CCM
 
Jiulize huo ushahidi wote kapata Kwa njia gani wakati hayupo hapa nchini?
Swali zuri, hana ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu, wewe mwenyewe ulichonacho toka kwake ni maneno yake tu no evidence. Anawauzia watu matumaini hewa.

Nina hakika kama Mange angekuwa na ushahidi anasoma jamaa, ungekuwa wazi mapema sana.
 
Swali zuri, hana ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu, wewe mwenyewe ulichonacho toka kwake ni maneno yake tu no evidence. Anawauzia watu matumaini hewa.

Nina hakika kama Mange angekuwa na ushahidi anasoma jamaa, ungekuwa wazi mapema sana.
Subiri uone moto wake
 
Endelea kula maneno Mkuu, siku ukishiba utauliza ushahidi kwa huyo jamaa.
Avatar yako,typing style,akili na uprimitive wako,unaangukia kwenye Uvccm,
hahitaji kuiingia ndani sana,kuna watu duniani wajinga sana
 
Wewe Fala hata kirefu cha ICC hujui....hakuna MTU atapona mwakani
Mbulula endeleeni kutumainia wajinga mitandaoni
Huyo kichwa pumbu alivyokuwa bogus amekazana na kutuma email kwa raisi wa ICC na hapo ndio inaonyesha ni mjinga fulani amekamata fuvu za mbulula kumsikiliza upupu wake
Tangu lini ushahidi unatumwa kwa raisi wa ICC?
 
Dah wabongo bwana washaingizwa tena chaka na huyo Kabil. Nb msijiachie sana huko kwa Kabil. Mtaangamia!
Narudia msijiachie sana. Kwa uelewa wangu mdogo kabisa Kabil kaja kipindi hiki kwasababu maalum. Hizo sababu Wala si za kuwatetea majority Bali.....
 
Back
Top Bottom