Ushahidi wa wazi kuwa Ali kiba anahujumiwa kwenye tuzo

Nenda wewe basi ukawe mdhamini ili tuzo umpe huyo Kiba! Nyie watu mbona mnaboa sana?!
 
Give him a time,
Mpeni Muda Alikiba,
Anakuja,
Diamond aliwahi kukosa Tuzo South Afrika kwa mara ya kwanza lakini alisema kwamba Next Year we are going to get them,
Nakumbuka alishinda Davido, Tena Moja ya Mtangazaji TZ akasema she was happy for Davido to won award, Mdogomdogo mwaka uliofuata jamaa akapata Tuzo 3,
Kwa hiyo Alikiba kupata tu Perfomance kubwa kama hiyo ya MTVMAMA2016 kwetu sisi tunaojua nini maana ya hatua basi Tunampongeza, Lakini pia Nyimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol kuingia Categories tatu siyo mchezo maana nani asiyejua kwamba Alikiba akishirikishwa hujitahidi sana kuplay part yake, Tusimlaumu au Tusilalamike, Tumpe Muda Alikiba kuna kipindi atakuja kupata Nominations mpaka mtashangaa, Siku hazifanani I swear. Tuombeane Uzima tu.
Na kuhusu EATV Awards Kigezo cha kwanza ni KURA, kama Fans wa KIBA wataamua kupiga kura atapata karibia zote,
Kama Mtaacha kupiga kura Basi watapata wengine.

Lakini Nashauri katika Maisha usiwe mtu wa kulalamika kila siku. We si unaona Jamaa ametoa Nyimbo ya Aje na Amejitahidi toka aanze kufanya Mziki Nyimbo hii imemtambulisha.

Binafsi Nasema TUMPE MUDA ALIKIBA, ATATOBOA SANA TUU, Kwa sababu jamaa anajua kuimba sana na hata hapo alipo anastahili pongezi, Game siyo Mchezo, Mziki siyo wa kitoto kwa sasa, ni fursa na kila mtu anaikimbilia.
 
Ulitaka mdhamini awe nani sasa wildaid au......
 
kibakuli asubiri tuzo za tanapa music award(TAMUA)
 
Na kwa kuweka kumbukumbu sawa, hiyo unayosema wewe ni mara ya pili, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2010 ambapo alikuwa nominated as New Act lakini hakupata... tuzo ilienda kwa Mo'Cheddah lakini hakukata tamaa akaendelea kupigana!
 
Nahisi huyu mmoja kati ya wale wanne, nchi hii tuna safari ndefu, vijana wa siku hizi wamekaa kichuki chuki, kiwivu wivu yaani bora sometime kampani yako iwe na wazee wengi kuliko vijana.Basi kama ndio hivyo mwaka jana asingechaguliwa coke studio, TUMEWACHOKA NA THREAD ZENU ZA KULALAMIKA KILA SIKU na kama NDIO HIVYO HAINA HAJA YA KUMPIGIA KURA KTK MTV EMA p.umbavuuuuuuuuu
 
Kila mtu na bahati yake ukilijua hilo hutoumia kichwaaa!mbona kiba hakuchaguliwa kuwa brand wao?kwani wana ugomvi nae!!
 
Yani wewe hata Kiba hawezi kubali uwe shabiki wake.. Ni mjinga zaidi.
 
Sasa kwa nini hayo makampuni yamemchagua Diamond na si Kiba?
 
Nenda wewe basi ukawe mdhamini ili tuzo umpe huyo Kiba! Nyie watu mbona mnaboa sana?!
Nyie wote ni 1/4... Kwanza nmemuongelea kiba kabisa mdau na sio mshabiki.. Ukwel ndo huo,tatzo wabongo tukisema ukwel tunaonekana wabaya... Sheeeenzi
ukiachana na akili ni kitu gani kingine ambacho huna?

Ulitaka mdhamini awe nani sasa wildaid au......

Na Afrimma Voda walidhamini?

Au roho ya korosho, sasa team nani au ndio dalili za kubasti

Kwani kibakuli si alisema yeye ni mkubwa kuliko tuzo?

analialia nini sasa?

kibakuli asubiri tuzo za tanapa music award(TAMUA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…