Hahahaaaa yaani unautani wa ngumi kabisa mkuuYooooo kiba for real tapili boko mchizi wa geto yoooo papilii papiliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa yaani unautani wa ngumi kabisa mkuuYooooo kiba for real tapili boko mchizi wa geto yoooo papilii papiliii
Acha hofu weweKwanza niseme mapeeeema mi sio team kibakuli wala team domondo...
Ok nikija kwenye point ni hivi wote tunajua kuwa mwaka huu tuzo za kili hazitakuwepo ila tuzo pekee zitazofanyika kwa hapa bongo ni EATV AWARDS zinazoandaliwa na Eatv au Channel 5.
Wadhamini wakuu wa hizi tuzo ni Vodacom na Coca Cola.. Sasa tujiulize kidogo, kuna mtu asiyejua mkataba wa diamond na Voda!?
Kila mtu anajua... Na je diamond na cocacola!?
Inajulikana wazi kuwa coca na vodacom mtu wao wanayemtumia kwa matangazo ni diamond..
Sasa hapa ali kiba atapataje tuzo mbele ya diamond..!!?
Yaani makampuni haya yadhamini tuzo halafu mtu anayetangaza brand zao wamnyime wampe mpinzani wake!!!?
Haiwezekani,yaani hapa kiba asitegemee tuzo hata moja, lazima ziende tu kwa diamond..
Kama kuna mtu asubiri hizo tuzo zifanyike halafu aone matokeo yatakuaje..
Nmeongea mapeema kabla ya tuzo ila watu wasije wakasema ni maneno ya mkosaji...
Japo mi sio team kibakuli ila kwa tuzo za style hii kiba atasubiri sana kupata tuzo...
Hapana chizi awaye yote afahamue yeye ni chizi. Wakati akipekuwa pekuwa majalalani kutafuta chochote kitu atie tumboni; atamuona chizi yule anayekula kwa Mama Lishe... yaani yeye anayekula jalalani anadhani ndo mzima!Nyie wote ni 1/4... Kwanza nmemuongelea kiba kabisa mdau na sio mshabiki.. Ukwel ndo huo,tatzo wabongo tukisema ukwel tunaonekana wabaya... Sheeeenzi
Umejaza server with cra'p!Nmelalamika au nmesema tu
Nakujibu kama ifuatavyo...Hawajaingia ili kumhujumu kiba ila kwa kuwa mtu wao diamond yupo kwenye tuzo hawawezi kumnyima na kumpa mpinzani wake... Hiyo ndo point yanguHapana chizi awaye yote afahamue yeye ni chizi. Wakati akipekuwa pekuwa majalalani kutafuta chochote kitu atie tumboni; atamuona chizi yule anayekula kwa Mama Lishe... yaani yeye anayekula jalalani anadhani ndo mzima!
Kama sio chizi, nijibu swali lifuatalo: EATV wamenzisha tuzo na wewe unadai "Ushahidi wa Wazi kuwa Kiba anahujumiwa kwenye tuzo" kwa sababu tu wadhamini wa tuzo ni Vodacom & Cocacola! Kwahiyo unataka kusema Vodacom na Coca Cola wameingia kwenye hizo tuzo ili Wamhujumu Ali Kiba?
Stupid IdiotUmejaza server with cra'p!
Mi nna mtoto kama wewe... stupid idiotKwani hizi tuzo za EATV zimeanza kutolewa lini mpaka unaropoka kuwa ndo ushahidi kuwa jamaa anahujumiwa...humu jf kumbe kuna watoto wa facebook na mawazo yao kama Tom cat.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hivi
hance mtanashati ndio kusema wame m ban moja kwa moja ama vipi!!?
Maana hizi ndio zilikuw nyuzi zake za ku deal nazo hizi
Nilijibu pale juu, ebu kachek vzuri[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sasa mbona unaomba msaada kwa hance mtanashati mkuu. Jibu tuhuma hizo kwanza wadhamini wa msanii wanaweza kumnyima msanii wao tunzo??..
Halafu ndo mambo ya hance baadae[emoji1]
Kwa komment za watu zilivyo..bado unadhani wewe una akili za kiutu uzima.Mi nna mtoto kama wewe... stupid idiot
Iniesta na Messi pia mnabebwa kwenye tunzo na FIFA[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Nilijibu pale juu, ebu kachek vzuri
Si unajua mi ndo Iniesta halafu yeye Messi , hasa aspo kuwepo tim haisongi, kila nikipiga pas mfungaji hayupo