Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Iniesta na Messi pia mnabebwa kwenye tunzo na FIFA[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
we huna akili na hoja maaandaz zako,, hata kama tuzo zingefadhiliwa na tembo bado diamond angemshinda tu kibakuli wako,, afrima nazo znasimamiwa na voda?Kwanza niseme mapeeeema mi sio team kibakuli wala team domondo...
Ok nikija kwenye point ni hivi wote tunajua kuwa mwaka huu tuzo za kili hazitakuwepo ila tuzo pekee zitazofanyika kwa hapa bongo ni EATV AWARDS zinazoandaliwa na Eatv au Channel 5.
Wadhamini wakuu wa hizi tuzo ni Vodacom na Coca Cola.. Sasa tujiulize kidogo, kuna mtu asiyejua mkataba wa diamond na Voda!?
Kila mtu anajua... Na je diamond na cocacola!?
Inajulikana wazi kuwa coca na vodacom mtu wao wanayemtumia kwa matangazo ni diamond..
Sasa hapa ali kiba atapataje tuzo mbele ya diamond..!!?
Yaani makampuni haya yadhamini tuzo halafu mtu anayetangaza brand zao wamnyime wampe mpinzani wake!!!?
Haiwezekani,yaani hapa kiba asitegemee tuzo hata moja, lazima ziende tu kwa diamond..
Kama kuna mtu asubiri hizo tuzo zifanyike halafu aone matokeo yatakuaje..
Nmeongea mapeema kabla ya tuzo ila watu wasije wakasema ni maneno ya mkosaji...
Japo mi sio team kibakuli ila kwa tuzo za style hii kiba atasubiri sana kupata tuzo...
Mnafanana na hance kumkomalia msanii wetu mpaka mnamchomolea mic[emoji441][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Alafu ungejua nnavowachukia hao jamaa
Sema mfano wao na mimi na hans unafanana.
Inabid niwatumie tuu hamna namna
we kweli kumm*a mwili mzima...Nyie wote ni 1/4... Kwanza nmemuongelea kiba kabisa mdau na sio mshabiki.. Ukwel ndo huo,tatzo wabongo tukisema ukwel tunaonekana wabaya... Sheeeenzi
Piece of written masturbation which can only come from a dumbass!Stupid Idiot
Then you're the dumbest hick and dick sucker!Nakujibu kama ifuatavyo...Hawajaingia ili kumhujumu kiba ila kwa kuwa mtu wao diamond yupo kwenye tuzo hawawezi kumnyima na kumpa mpinzani wake... Hiyo ndo point yangu
you stupid idiot!
Nimecheka kwa nguvu<< kiba ATAPATA tuzo za TANAPA>>>
HahahaMnafanana na hance kumkomalia msanii wetu mpaka mnamchomolea mic[emoji441]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Huko hatuhusil bro sisi huwa tunamcgana live mtu yeyote kwa kweli