Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Huu ni upumbavu
Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu.
Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.