Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
jamaa amekuletea chocolate ya nini sasa badala atoe chapaHuu ni upumbavu au use...nge
Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu.
Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.
****. Amemletea nani? Nyonokojamaa amekuletea chocolate ya nini sasa badala atoe chapa
Chocolate itapanda na Gilbeys's gin?Ndugu mbona ni kama ulitaka wewe ndio upewe hio chocolate😁😁
nyolo****. Amemletea nani? Nyonoko
Nyonokonyolo
We kenge nini?unamuonea wivu mtoto wa kike kupewa chocolate..