Ushamba, ujinga na usela mavi wa EMBER BOTION

Ushamba, ujinga na usela mavi wa EMBER BOTION

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Serious mtu unahejisifu kuwa umekaa sough Africa kwa miaka kadhaa unaenda kumteka mtu mbele ya kamera na kumlazimisha akili maneno ya uwongo ambayo umeyapanva wewe.

Seriously mtu mwenye exposure kama EMBa botion unafanya ujinga na upumbavu mbele ya kamera ya unafanya uvunjifu wa sheria na amani mbele ya kamera yani namqanisha kamera zikiwa on zinakurekodi live

Ivi Emba botion hana washauri wenye akili timamu ama haajui kuwa jamuhuri ya Tanzania ina serikali halali ilioapishwa ili kulinda katiba ya jamuhuri ya Tanzania unafanya upumbavu na uvunjifu wa sheria mbele ya kamera ukitegemea kwamba wewe utakuwa safe kweli

Yaani kijikundi cha vijana wavuta bangi wa kinondoni mjiunde na kwenda kumteka na kumtishia amani na maisha mtanzani mwenzinu tena mbele ya kamera alafu mtegemee serikali kukaa kimya kweli seriouly

Yaani nilikuwaga nadhani Uyo Emba botion ni mjanja kumbe ni bonge la kolo tena nadhanikoko kishinda ata makalo wooooooooooooote duniani nachomaanisha ni Emba botion ni mtu asiye tumia akili kabisa

Unaawezaje kufanya utekaji wa binadamu mwenzio tena mtanzania mwenzio mbele ya kamera namna ile ivi unafikiri kuwa Harmolapa sio mtanzania halisi ama hana haki zoooote ambazo anapaswa kuwa nazo mtanzania


Mwisho Emba botion wewe ni mshamba wa kiwango cha lami yaani wewe una usela mavi ule uswla wa kizamani na sheria za jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni lazims zikuhukumu mzer

Jukumu la kwanza la serikali ya jamuhuri ya muungano waTanzania ni kulinda amani ustawi na haki ya kila mtanzaniakuwa huru kabla ya mahakamakumuhukumu
 
bwege huyo ngoja akagongwe segerea leo
Screenshot_20210508-221717.jpg
 
Mbona mi naona huo ni ujanja. Yaani kumteka mtu mbele ya camera unaita ushamba. Mi naona huo ni u GANGSTA haswaa
Unamteka mtu raia wa jamuhuri fulani mbele ya kamera je hujui kuwa iyo jamuhuri ina serikali na serikali ina katiba yake ambayo inafatwa na raia wake wooote je unataka kutuma picha gani kwa majirani wa iyo jamuhuri kwamba jamuhuri iyo ina serikali ambayo ni nyoka wa kibisa means haiwezi ata kutetea haki za raia wake
 
Back
Top Bottom