The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga ng'ombe mnaowakusnaya majukawaani kwa malori.
Mpaka dakika hii huwa najiuliza hii NRNE ina mwaka mzima inaama huko CCM hakuna wenye ubongo na hawakujua madhara yake?. Dakika za lala salama ndiyo mnakuja na Tunatiki 😂 😆 huku CDM wako mbele ya mda wanawaza mambo mengine kabisa.
Ndani ya mioyo yao kwa sasa.wana CCM wanaimba NRNE ipo siku wataimba hadharani stay tuned na baadhi yao moto wa social media umeshawaunguza hawana hamu dunia imebadika amukeni maCCM.
Jambo lingine what ever happenes on social media mnasema lipuuzwe hao aha ha 😆 🤣 😄 yaani dunia ya leo unapuuza nguvu ya social media na unatumia millions of money kusomba watu mikutanoni unaonekana uanakubalika.
Niinyi maCCM kwenye mikutano yenu hata sisi maponjoro 😄 🤣 huwa tunakuwepo kuongeza idadi huku tuna commmet NRNE mitandaoni. Naamini kwa walivyo washamba maCCM watapigwa na kulegea hukuhuku social media bila hata maaandamo.
Jiulizeni kama mnakubalika kwa namna vile majukwaani kwa nini mintandaoni hata uraiani hakuna anayewaongelea mazuri? Endeleeni kupuuza tu Chadema watazidi kuchanja mbunga maana wamewazidi ubunifu.