Ushangiliaji huu wa Yanga SC una maana gani?

Kuna ishara ya kuzibwa mdomo na kuna ishara ya bunduki kichwani(kupiga risasi)
Halafu washangiliaji ni wa kongo..

Jumlisha hapo utapata jawabu.
Sasa Kibwabwa kaweka bunduki mbili kichwani kabisa.
 
[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]
[emoji24] For [emoji196] Fc
 
Masikini Kibwabwa....... Kajilenga double double..! Yuko Mbaaali Na Yanayoendelea.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…