KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Tuwekee hapa hiyo picha.Congo wamezibwa mdomo na US & EU halafu at Rwanda's gun point..kuna picha nimeona sshemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee hapa hiyo picha.Congo wamezibwa mdomo na US & EU halafu at Rwanda's gun point..kuna picha nimeona sshemu
SikuihfadhiTuwekee hapa hiyo picha.
Hii hapaTuwekee hapa hiyo picha.
Sasa Kibwabwa kaweka bunduki mbili kichwani kabisa.Kuna ishara ya kuzibwa mdomo na kuna ishara ya bunduki kichwani(kupiga risasi)
Halafu washangiliaji ni wa kongo..
Jumlisha hapo utapata jawabu.
We ulikuwa unaelewa kabla uambiwe?Kibwana na fei ni pmvfu sana
HAWAELEWI chochote
Wapo wapo tu...