ushauli kuhusu kusoma medical doctor

Medical hapana kupata mtihani.
Akimbilie pharmacy au medical laboratory kidogo anapenya.
 
Mtoto wangu ana CHEMISTRY B physics C na Biology C uwezekano wa kua doctors kwa government university upo!?
 
Mtoto wangu ana CHEMISTRY B physics C na Biology C uwezekano wa kua doctors kwa government university upo!?
Huyu anaweza ingawa competition ni kubwa sana.Min ni point 9 kuingia medicine kwa mwongozo wa TCU ila sasa competition ni kubwa sana kwani wanaangalia mpaka matokea ya Olevel kwa the same subjects.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…