ushauli kuhusu kusoma medical doctor

ushauli kuhusu kusoma medical doctor

Habari zenu wadau na mdogo wangu kapata div one point 8.

Chem-B
Phy-B
Bio-D

Anataka kusomea udactar je atapata na aombe vyuo gani ili afanikish ndoto yake

Nenda tandabui waliosoma C.O wanakula MAISHA.
 
Hivi unasoma "Pharmacy" ili iweje?

Malengo yako ni yapi hadi ukachagua kusoma Pharmaceutical Science.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pharmaceutical science ni kwa level ya Certificate inaitwa hvyo ,hii ni Bachelor of pharmacy ,yan Hii kozi Kaongee na Mtu yeyote wa afya atakwambia Yan Ni kozi Yenye pesa kulinganisha na Nyingne ,TMDA mshahara Mpaka 3.3 M per month ,Chet cha mfamacia ukikiweka pharmacy wanakulipa kwanzia 1M per month wengne mpaka 1.5M [emoji3059]
 
Wakati nipo form Olevel Mzumbe,kuna form six PCB walikuw wanasongoka sana afu Necta unakuta wanapata 2 au 3...na kipindi hicho hata kutoa Tanzania 1 PCB ilikuw nadra sana..top ten nzima science utakuta ni PCM...nilivyofika advance PCB nikawa najiuliza mbona mm siwez kusoma sana kama wale jamaa n yet nikatusua poa tu na kumaliza MD yangu kirahisi tu...ila sasa nikiangalia na miaka ya karibuni madogo PCB wanafaulu sana kuzid hata enzi zangu mimi...hivyo nabak najiuliza nasisi tulikuw vilaza na madogo wanafaulu sana au mitihan imekuw mirahisi?
Akili zimeongezeka kwa vijana wetu,ama? Inakuwaje mavyuo mengi hivi lakini BCC inakuwa ngumu kwenda medical school? Au mitihani ni rahisi siku hizi?
 
Wakati niko o-level, seniors waliokuwa wanasoma PCB kwenye shule yangu walikuwa wanafeli sana. Div 3 ndio walikuwa wanakwenda Muhimbili kuwa madaktari. Katika miaka yangu 4 ktk shule ile, kuja kijana mmoja tu aliyekwenda Muhimbili akiwa na division 1. Tena one ya chini. Lakini tulimwona genius kwa vile tulikuwa tumezoea kuona div 3 na 4. Chuo kilikuwa Muhimbili tu, Na hao div 3 ndio walikuwa wanakwenda.
Wakati nipo form Olevel Mzumbe,kuna form six PCB walikuw wanasongoka sana afu Necta unakuta wanapata 2 au 3...na kipindi hicho hata kutoa Tanzania 1 PCB ilikuw nadra sana..top ten nzima science utakuta ni PCM...nilivyofika advance PCB nikawa najiuliza mbona mm siwez kusoma sana kama wale jamaa n yet nikatusua poa tu na kumaliza MD yangu kirahisi tu...ila sasa nikiangalia na miaka ya karibuni madogo PCB wanafaulu sana kuzid hata enzi zangu mimi...hivyo nabak najiuliza nasisi tulikuw vilaza na madogo wanafaulu sana au mitihan imekuw mirahisi?
 
Pharmaceutical science ni kwa level ya Certificate inaitwa hvyo ,hii ni Bachelor of pharmacy ,yan Hii kozi Kaongee na Mtu yeyote wa afya atakwambia Yan Ni kozi Yenye pesa kulinganisha na Nyingne ,TMDA mshahara Mpaka 3.3 M per month ,Chet cha mfamacia ukikiweka pharmacy wanakulipa kwanzia 1M per month wengne mpaka 1.5M [emoji3059]
😄😄😄
 
Sikuhizi shule nyingi zinapata div I kwa darasa zima[emoji1][emoji1], hata wakiweka kigezo cha I-5 kwenda MD bado ushindani utakua mkubwa.
Enzi zile mdau mwenye CCC hawazi tena mambo ya kukataliwa chuo.
 
Pharmaceutical science ni kwa level ya Certificate inaitwa hvyo ,hii ni Bachelor of pharmacy ,yan Hii kozi Kaongee na Mtu yeyote wa afya atakwambia Yan Ni kozi Yenye pesa kulinganisha na Nyingne ,TMDA mshahara Mpaka 3.3 M per month ,Chet cha mfamacia ukikiweka pharmacy wanakulipa kwanzia 1M per month wengne mpaka 1.5M [emoji3059]
Kama bado unasoma nakushauri utafute wadau wakushauri kabla hujamaliza shule.
 
Back
Top Bottom