ushauli kuhusu kusoma medical doctor

ushauli kuhusu kusoma medical doctor

Mambo yamebadilika. Nakumbuka zamani zangu watu walienda na DDE, DDD Muhimbili. Tena chuo kilikuwa kinachukuwa watu chini ya 40 kwa intake moja. Na kilikuwa chenyewe tu Tanzania nzima!
anawz akakosa..jaribun na kada zingn kama pharmacy
 
Mambo yamebadilika sana. Nakumbuka zamani zangu watu walienda na DDE, DDD Muhimbili. Tena chuo kilikuwa kinachukuwa watu chini ya 40 kwa intake moja. Na kilikuwa chenyewe tu Tanzania nzima!
MUHAS haiwezekani,UDSM haiwezekani,UDOM 50/50......KCMC,BUGANDO uhakika
 
Mambo yamebadilika sana. Nakumbuka zamani zangu watu walienda na DDE, DDD Muhimbili. Tena chuo kilikuwa kinachukuwa watu chini ya 40 kwa intake moja. Na kilikuwa chenyewe tu Tanzania nzima!
Kuna jamaa angu kasoma muhas na DCC enzi zile

Siku hizi kila mtu anafaulu[emoji1]
 
Akili zimeongezeka kwa vijana wetu,ama? Inakuwaje mavyuo mengi hivi lakini BCC inakuwa ngumu kwenda medical school? Au mitihani ni rahisi siku hizi?
mamb yamechange yan mdogo Wang ana BBD lakin anahofu kam atawez kusom medicine
 
Akili zimeongezeka kwa vijana wetu,ama? Inakuwaje mavyuo mengi hivi lakini BCC inakuwa ngumu kwenda medical school? Au mitihani ni rahisi siku hizi?
so kwel kua mamb ni rahis ila upatikanaj wa zana za kujifunzia umekua rahis imefikia hatua serikal imebadilish ad format ya mtian sikuiz swal lakuacha kweny kila mtian ni moja tu so kama yakitok maswal sita labla kweny phyz 2 unajib matano una acha moja
 
Akili zimeongezeka kwa vijana wetu,ama? Inakuwaje mavyuo mengi hivi lakini BCC inakuwa ngumu kwenda medical school? Au mitihani ni rahisi siku hizi?
hazijaongezeka ukitaka kujua waulize hao waliopata DDE walipata GPA za ngapi chuo na huyu mwenye BBC anatoka na GPA ya ngapi.
 
Habari zenu wadau na mdogo wangu kapata div one point 8.

Chem-B
Phy-B
Bio-D

Anataka kusomea udactar je atapata na aombe vyuo gani ili afanikish ndoto yake
Biology ndiyo key subject hapo, hajalifanya vizuri, siyo mbaya aombe kcmc au Bugando competition siyo kubwa kama muhas
 
Jaribu tu hila Sizani,nipo Pharmacy hapa muhas Mwaka jana Waliishia Point saba yenye C ya bios
Kula shule mfamasia,tuongeze nguvu tuje tulete drug discoveries za maana kama za kina Johnson&aJohnson.
 
Jaribu tu hila Sizani,nipo Pharmacy hapa muhas Mwaka jana Waliishia Point saba yenye C ya bios

Je mwenye,physics C,chemistry D na bios A naweza pata pharmac apo muhas..??
 
Mambo yamebadilika sana. Nakumbuka zamani zangu watu walienda na DDE, DDD Muhimbili. Tena chuo kilikuwa kinachukuwa watu chini ya 40 kwa intake moja. Na kilikuwa chenyewe tu Tanzania nzima!
Mi nilipiga MD na DDS
 
Back
Top Bottom