Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kunyamaza kwake ni faida zaidi kuliko kukanusha, katika hali kama hii Kijana atulie kimya tu.
 
Unauhakika? What if alirekodiwa au camera zilimnasa walipo kutana? Atakataa

Punguza mihemko kaka, bongo politics ni kitu kingine
Kwamba nawe unaamini Abdul ana pesa za kumhonga Lissu?

Kazitoa wapi hizo pesa?
 
Akafanye nini mahakani ikiwa ni kweli alienda kwa Lissu? Sidhani kama angekaa kimya kama asemacho Lissu ni uongo kwa asilimia mia moja.
 
tunamsubiri akifanya tu hivyo ndo iletunasemaga kaingia kwenye mfumo
 
Mtoto wa rais ni rais wa watoto wengine
Kuna fungu lao spesho kumbe lililonona?

Anyway, sidhani kama ndiye huyo Abdul anayeongelewa na Lissu!!
 
Kwamba nawe unaamini Abdul ana pesa za kumhonga Lissu?

Kazitoa wapi hizo pesa?
Pesa si lazima ziwe zake, anaweza kupewa tu yeye akatumika chambo. Na hili suala si mara ya kwanza, serikal zilizopita alikwua anatumia rostam
 
Mimi pia nikiwa high school, nilishangaa sana kukuta mawe na magunzi kwenye vyoo vya shule,

Nikajiuliza labda Huwa Kuna watu wanakula mahindi chooni Kisha kuacha magunzi.

Turudi kwenye mada🙏
Ukiona kajibu mfano swali ili "we ni shoga" na wewe ukaitikia haraka kuwa mimi sio shoga ujue ni shiga asante abduli
 
Akafanye nini mahakani ikiwa ni kweli alienda kwa Lissu? Sidhani kama angekaa kimya kama asemacho Lissu ni uongo kwa asilimia mia moja.
Mimi nisingekubali udhalilishaji wa aina hiyo.
 
Anyway, sidhani kama ndiye huyo Abdul anayeongelewa na Lissu!!
Soma hapa 👇
 
Awahi tumpige za jembe mapema,mana nae kilaza tu anachoweza ni ufisadi na upigaji deal
 
Huenda camera zilimnasa unajuaje?
 
Hii kitu itaibukia kwenye kipindi cha "uchafuzi mkuu" kama kete muhimu sana.
 
HUyo wewe unajua ni nani?mimi sijui ila kila nikiwa mtaani nawasikia akina dulla zaidi ya mia kwa wiki,sijui wewe ndugu yangu,halafu kila ukimsikia unamsikia kwenye mambo ya ujanja ujanja,kama sio kwenye vigodoro,udalali,ama mziki wetuwa zengeli,ama ukabaji ama boda boda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…