Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu kasema mwenyewe nyumba yake haina camera kwa hiyo ushahidi wa picha hautakuwepo.
Hiyo ni silaha yake hawezi kuianika, Abduli ameyatimba itabidi apige kimya tu maisha yasonge Watanzania ni watu wa kusahau hiyo imeshapita.
 
Tukumbushe mara ya mwisho Lissu kushindwa kesi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Atajiaibisha zaidi, Lissu ataiomba mahakama imuite mama yake
 
WATU VICHAAA KAMA LISU NA CHADEMA UKIWASIKILIZA KILA WANACHOSEMA KISHA UWATILIE MAANANI UTASHINDWA KUISHI,NI HAWA HAWA WALISIMAMA KUMTUKANA MAREHEM LOWASA NA KUSENA FISADI PAPA NA KUWEKWA KWENYE ILE LIST OF SHAME,SUDDENLY WANAGEUKA NA KUMPA KIJITI CHA KUPEPERUSHA BENDERA YAO YA URAISI,SASA SI UNAONA KABISA HAWA WATU NI WAGONJWA WA AKILI??
 
Lissu alijibu kimtego lile swali la nyumbani kwako kuna camera? Akasema hakuna ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Hapo ndio utajua akili ya Lissu ilivyo ya juu na kutenda kazi haraka.
Hata nchi ina hitaji kiongozi mwenye sharp mind like that.
Kimsingi swali hilo hakulitegemea lakini kashtuka kuwa jibu litakuwa na impact gani
 
Amesisitiza juzi kuwa ana akili timamu.

Ungetuhakikishia kuwa wewe una akili timamu, ingekuwa jambo jema kabla ya kupoint fingers.
 
Kwani amesingiziwa?
 
anao ubavu huo! unafkiri kwa tundu.lisu hakuna vitu vya usalama? unafkri kwa nini alisema aje kwake na akaenda? jipime
 
Mwacheni Dully anyonye tui la Mama, hekaheka za Lisu haziwezi atulie tu.
 
Hivi wakuu hamna hata picha ya abdul,

Maana ni muda sasa Abdul huku, Abdul kule, Abdul hapa.
Ila picha yake haijaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ