- Thread starter
- #81
Ngoja tuone. Hizi tuhuma ni nzito!Hivi jambazi anaweza kwenda mahakamani kushtaki kwa sababu ameambiwa ni jambazi?
Kamwe, siamini kama anaweza kufanya hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone. Hizi tuhuma ni nzito!Hivi jambazi anaweza kwenda mahakamani kushtaki kwa sababu ameambiwa ni jambazi?
Kamwe, siamini kama anaweza kufanya hivyo.
Anajua amerekodiwa anatafuta namna ya kuweka mambo sawaHii kitu itaibukia kwenye kipindi cha "uchafuzi mkuu" kama kete muhimu sana.
Kusema ni jambo moja na kutokuwepo kamera ni jambo jingineLissu kasema mwenyewe nyumba yake haina camera kwa hiyo ushahidi wa picha hautakuwepo.
Hiyo ni silaha yake hawezi kuianika, Abduli ameyatimba itabidi apige kimya tu maisha yasonge Watanzania ni watu wa kusahau hiyo imeshapita.Lissu kasema mwenyewe nyumba yake haina camera kwa hiyo ushahidi wa picha hautakuwepo.
Abdul ambaye Mama yake alimtembelea Lissu alipokuwa Ubelgiji, na pia ambaye ana uwezo wa kuamuru Lissu alipwe stahiki zake toka serikalini.Wewe unamjua huyo Abdul aliyetajwa na Lissu?
Bila ya shaka zilikuwa dolari tena za mia mia.Inafikirisha,
Pesa ya kumuhonga Lissu iwekwe ndani ya bahasha🤔
Hapo ndio utajua akili ya Lissu ilivyo ya juu na kutenda kazi haraka.Lissu alijibu kimtego lile swali la nyumbani kwako kuna camera? Akasema hakuna 😀 😀 😀
Amesisitiza juzi kuwa ana akili timamu.WATU VICHAAA KAMA LISU NA CHADEMA UKIWASIKILIZA KILA WANACHOSEMA KISHA UWATILIE MAANANI UTASHINDWA KUISHI,NI HAWA HAWA WALISIMAMA KUMTUKANA MAREHEM LOWASA NA KUSENA FISADI PAPA NA KUWEKWA KWENYE ILE LIST OF SHAME,SUDDENLY WANAGEUKA NA KUMPA KIJITI CHA KUPEPERUSHA BENDERA YAO YA URAISI,SASA SI UNAONA KABISA HAWA WATU NI WAGONJWA WA AKILI??
Kwani amesingiziwa?Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Kama hajasingiziwa TAKUKURU ifanye KAZI yake.Kwani amesingiziwa?
anao ubavu huo! unafkiri kwa tundu.lisu hakuna vitu vya usalama? unafkri kwa nini alisema aje kwake na akaenda? jipimeSalaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Nijipime Mimi au Abdul?anao ubavu huo! unafkiri kwa tundu.lisu hakuna vitu vya usalama? unafkri kwa nini alisema aje kwake na akaenda? jipime
wote tu wewe na abdulNijipime Mimi au Abdul?