Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

Kwanza jitathimini ww mwenyewe moyoni mwako bado una hisia nae? Vip ulienae ana vigezo unavyoitaji na una mpenda kweli?
Alafu chukua nafasi ya huyo mwanamke uliye nae uone ni maumivu kiasi gan atayapitia baada ya ww kurudiana na ex wako.
Mwisho fanya maamuzi
 
😅😅😅😅😅 ila
mkuu unapenda ona watu wanamatatizo yaakili sijui kwanini


Kwani nimeandika uongo?

Hakuna wanaume ambao wanwaogopa wan awake wenye viapato?

The same too kwa wanawake wapo ambao wanawaogopa wanaume ambao wapo well financial stable

Sasa mambo Kama haya nikimuambia ni tatizo la kuwa fixed mindset hauoni ni kweli100%

Matatizo yanayowasumbua watu kwa asilimia kubwa ni matatizo ya akili tu
 
Mwanaume hakataagi mwanamke mfanye awe masturbation yako
 

Amekuisha hamu lakini bado unakosa cha kufanya mzee?

Itakuwa bado unampenda...
 
Mwezi wa12 tuliachana mwezi wa tatu nikapata kazi asahv simu haziishi kabisa
 
Chanzo alidai simpi muda wa kutosha mkuu amechoka
 
Tukisema kazi ni kipimo Cha utu muwe mnaelewa sw
 
Chukua wote 😁
 
Bwana Muxt siku ukipata matatizo ya ki GEO POLITICAL SYMMETRICX INTERLACUTRINE GENTAMYCIAN ARITHMETIC IVAN STEPHONOVICH ndio uje kwa ma GT tukupe ushauri

Otherwise too basic, grow a pair!
 
nikamwambia anisaidie hela ili niende huko Bukoba kwenye kituo cha kazi, akaniambia hana hela
We bwa mdogo yaani ulishindwa kuomba hata ndugu zako? unaloloma hapa kwa hela za mwanamke.
Hizo ni zake,utaolewa nawewe ukiendekeza huo upoyoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…