Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

Duh mwanamke anaishi kama mwanaume! Inamaana miezi 6 yoote yai halipevuki...anajiskia vibaya ilaaa simhurumiii ameyataka mwenyewe kwa haraka na tamaa zake ni wazi kwamba alikuwa na wanaume wengi aliogopa kupata mimba ya mtu asiyejulikana akarahisihsa mambo hakujali afya ya uzazi wake....mtu hana mtoto anatumia uzazi wa mpango anapanga nini kama sio kupanga wanaume
 
Ndugu yangu siku matumizi ya condom watu hawayataki, mimi nina rafiki zangu huwa wanatembea na vipimo vya HIV kabisa wakikutana na demu as long as wapo in safe days wanapima ngoma na kukamua mzigo kavu kavu.
kondomu wanawake hawawapendi usipo initiate wewe mwanaume wala hawajisumbui kuuliza,anyway karibu kwa ushauri.
 
Na hili nalo neno.
 
changamoto sana,
 
Bila kupunguza unene hawez tatua tatzo...unene ndio chanzo..na unene uliopitiliza dawa yake ni puto au kufanyiwa gastric sleeve..yaan kukatwa utumbo..huku ulaya ni kawaida sanaaa...

Trust me hata ufanye dua na mitishamba gan.
Asipopunguza kilo kuanzia 20 ni kaz bure.

Na dawa za uzaz wa mpango wala sio chanzo ndugu.
 
Kuna mama yupo instagram pia anaitwa dokta Alice mcheck
Pia anaweza jaribu
Atumie detox ya asili kuondoa sumu mwilini nakupunguza uzito
 
nikweli kabisa mwanamke aliyesawa anajuikana tu hasa katika mzunguko wake huwa hausumbui,huyu wangu naweza kaa hata miezi 6 hajaona siku zake,ama anaweza ingia mara mbili ndani ya mwezi mmoja,ama aka bleed hata wiki 3 mfululizo tena mbonge mabonge.
Ndo naskiaga na kuona kwa ndugu jamaa na marafiki hayo ndo madhara yake, kuna mate wangu wa chuo alizaa 2014 akachoma hayo baada ya miaka 5 akasema anaacha atafute mtoto wa pili ingawa yeye tayari alikuwa yuko kwenye ndoa hadi sasa navoandika hapa bado anatafuta mtoto na mimba haijaingia ng'oo
 
inaumi
inauma sana mkuu,mabinti wengi wanatumbukia katika ujinga huu.
 
asante mkuu,nitalifanyia kazi
 
Kuna mama yupo instagram pia anaitwa dokta Alice mcheck
Pia anaweza jaribu
Atumie detox ya asili kuondoa sumu mwilini nakupunguza uzito
asante mkuu,nitajitahidi kumtafuta,hizo detox ni zipi na nataengenezaje?
 
daah,sasahivi vijana wakitaka kuoa wasijaribu binti aliyetumia hay madawa
 
Matumizi mabaya ya dawa za uzazi wa mpango yaani contraceptive drugs husababisha ugumba mainly secondary infertility.
Mabinti kuweni makini na contraceptive drugs laasivyo mtaolewa na mtaachika.
Ndugu ww vumiliya mkeo atashika mimba tu fataushauri wa wataalamu wa afya na mkeo ajitahidi apunguze mwili.
 
Tukiwaambia hachaneni na ndoa mnashupaza shingo, ona sasa umeenda kuoa gume gume limekwisha zuia mimba zaidi ya 50 kama Harry maguire, ungekuwa zako single usingehangaika na huu ujinga sababu unachaguo la kuzaa na mwanamke yeyote umtakaye kiroho safi, sio mpaka uanze kufikiria kumuacha Huyo tipwa tipwa, yaani mtu mzima na akili zako unamkuta mwanamke single anachoma sindano za kuzuia mimba na wewe unamuoa, hakika wewe ni kichwa maji, huyo beki hazikabi kwa kifupi umeoa maharage ya mbeya
 
asante mkuu,nitajitahidi kumtafuta,hizo detox ni zipi na nataengenezaje?
Apunguze kula wanga akiamka atengeze juis ya tango aweke na limao kidogo na tangawiz anywe kabla ya kula chochote na jioni kabla ya kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…