Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
watu wako na archives za watu, so umakini unahitajikaKwani ukisema ni wewe kuna ubaya gani?
Weka wazi ili baraza la wazee wa jf tukae kikao cha dharura kumuweka sawa huyo jamaa yetu.
Jf ni reputable platform anatakikana aendane nayo, kama mmekutana humu jf msituangushe bwana.
View attachment 1998461
Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijuiKumbe watu wanalambana kweli humu. Subiri na mimi nianze kuwinda demu wa kumlamba. Ila ujinga wa haya mambo ya majina ya uongo unaweza panga miadi kufika guest anaingia mkeo umlambe.
Unamlamba tu mkuu[emoji3]Kumbe watu wanalambana kweli humu. Subiri na mimi nianze kuwinda demu wa kumlamba. Ila ujinga wa haya mambo ya majina ya uongo unaweza panga miadi kufika guest anaingia mkeo umlambe.
LenieHatari lakin salama
Hujambo mkuuAbee
Una bahati mbaya sana mkuu[emoji3]Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
Niko poa, hofu kwakoHujambo mkuu
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.
Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni Jf na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua Bwanajf ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa jf kama kawaida.
Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri
Note,
Bibi jf ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana Jf.View attachment 1998429
Vizuri sana kama upo poaNiko poa, hofu kwako