Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Inabidi jf baraza la wazee tukae kikao cha haraka sana maana haiwezekani akuchezee member mwenzetu.

Hii story ni yake 100%, yani alete story za member wengine wa jf na anajua wapo humu wote 😂😂.

Huyu manzi ata kudanganya hajui aisee.
Yote kwa yote pole yake na amkanye huyo bwana jf.
 
Naona umeshapigwa mimba unakuja Kwa kumsema mtu anaomba ushauri wakati ni wewe ndy limekupata.Huyo jamaa aliyekupa ujauzito mwambie mkae chini myamalize mlee familia,humu hakuna atakayekupa ushauri wa maana

Alafu unaandika km mtu mwenye furaha sn lkn kumbe unaumia Kwa like jamaa amekufanyia..pole sn mrembo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mhurumie mwenzako wakati huu akijiandaa kuwa single mom, na ukute wenzake pia wajawazito
 
Kumbe watu wanalambana humu.
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.

Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni Jf na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua Bwanajf ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa jf kama kawaida.

Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri

Note,
Bibi jf ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana Jf.View attachment 1998429
 
Kwani huyo Babu Jf anawalambaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua Kama hivi[emoji1787]
IMG_20210325_040818.jpg
 
Back
Top Bottom