Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Mhurumie mwenzako wakati huu akijiandaa kuwa single mom, na ukute wenzake pia wajawazito
Nimesoma Hadi mwisho nikagumdua yeye ndy mwenye tatizo na anaumia sn..hebu fikiria mtu anaandika huku anaonyesha ana Amani kabisa na anaomba ushauri ili akampe huyo rafiki (ambaye ni yeye mwenyewe)..u can imagine ni jinsi gani anaumia.Mimi ninamuhurumia sn,na naomba MUNGU amtie nguvu wakati anapitia kipindi hiki kigumu
 
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.

Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni Jf na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua Bwanajf ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa jf kama kawaida.

Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri

Note,
Bibi jf ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana Jf.View attachment 1998429
Kuna mchungaji alisema achana na simu ya mme wako au mke wako .hili neno linamaana kubwa sana sio kila kitu unapaswa kujua kuna vitu ukijua vitakuumiza
 
..........kila mtu asimame kwny nafas yake, ukimchunguza bata hautamla.

Kama mmefkia kupeana na mimba, had harus mko njian kuifunga hayo mengne muachie mwenyewe. Usvpe umuhimu vtu vsvyo na umuhimu.

Ktka kulamba(ra) huko alikupata ww, muache jasr haachi asili
 
Dj shikilia kidogo niseme jambo....

Kwani huyu Dada si ndio alisema kalipiwa mahari ila bado hajaolewa na mumewe kwa makaratasi (cheti)...?

Leo ameshaanza kutafuta visababu na ni mjamzito tayari.. Id yeye zinamuhusu nn.

Dj walete kati ma single Maza walete zawadi kwa mwenzao..
Washanitunza kwako Dj
 
Nimesoma Hadi mwisho nikagumdua yeye ndy mwenye tatizo na anaumia sn..hebu fikiria mtu anaandika huku anaonyesha ana Amani kabisa na anaomba ushauri ili akampe huyo rafiki (ambaye ni yeye mwenyewe)..u can imagine ni jinsi gani anaumia.Mimi ninamuhurumia sn,na naomba MUNGU amtie nguvu wakati anapitia kipindi hiki kigumu
Mbaya zaidi yupo hapahapa kwenye uzi wangu mtoto wa chuo,amina kwa maombi
 
Back
Top Bottom