Nawapenda sana wadada wa JF, ni wa kweli na wawazi mno hasa kwa Wapenzi wao wa JF. Akipewa mimba anasema, anakuja hapa anatutangazia, tunashangilia na kufurahi
Akipata mchumba wa JF tunafurahi. Tunawatakia kila la heri kwenye penzi lla mtandaoni.
Wakimwagana wanakuja kusema, tunafurahi na kuendeleea kuwaombea ili bibie asijejinyonga maana huwa wanamwaga povu balaa.
Hadi sasa kuna Reported Case mbili za JF Males kuwapatia UKIMWI dada zetu, hizi ni reported case huenda kuna nyingine, wadada wa humu ni wa kweli na wawazi sana