Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pale mupenzi anatangaza ndoa huku akiwa ndani ya ndoa!!!! INATISHA Best. KE anakwambia hizi feelings nilidhani ni za utineja tu mapenzi ya mwanzo lakini sikujua hata katika umri huu naweza kuzipata tena 😜😜😜😜😜

Ila ungevunja tu Kwani nini bana [emoji15][emoji15]!! Maisha yenyewe mafupi haya!
 
Wapi picha mbona sizioni tena [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hebu nireview hapo juu labda [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Bwanajf ndio mume mtarajiwa?
Bwana jf Ana bonge la msuli wa paja maninaaa[emoji12][emoji12][emoji12]...na mwili wa kuukalia upo aisee khakhakhaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Anaonekana mtraaaammmmmuuuuu[emoji12][emoji12][emoji12]!! Natania jameniii
 
Siku hizi nimeacha Best baada ya kukaribia kuvunja ndoa mbili. Si unajua tena penzi likikolea husikii la shetani wala la mtoa adhana. Ila Best penzi likinoga raha sana unakuwa kama vile uko PEPONI hahahahahahaha.
Lol mambo yako yatakua ni motroooooo best [emoji23][emoji23]! Namimi nakuja unionjeshepo bana [emoji12][emoji12][emoji12]!![emoji23][emoji23] ! khakhakhaaa!
 
Reactions: BAK
Hahahahahahahahahaha lol! Unatafuta kesi nyingine wewe si bure.
Lol mambo yako yatakua ni motroooooo best [emoji23][emoji23]! Namimi nakuja unionjeshepo bana [emoji12][emoji12][emoji12]!![emoji23][emoji23] ! khakhakhaaa!
 
Yes aweke ya huyo mwanaume ili aokoe wanawake wengine wasije ingia mkenge, la sivyo atagombana na kina Mary keshokutwa mwanaume ataenda kwa kina Mwajuma.
Anaokoaje wakati kuna wanaomtamani bana ..ukisema wanini.........[emoji12]!!!! Ndokwanzaaa atamzidishia wateja trust me!!
 
Hahahahahahahahahaha lol! Unatafuta kesi nyingine wewe si bure.
mtayasovu yataisha si anakupenda bana atanuna ajilize ila hachomokiii [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ijumaa swafi na kauzi muruaaaa kabisa....!
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ijumaa swafi na kauzi muruaaaa kabisa....!
 
Ukwelinasema bwanako mzuri mwaya.. mzuri sana Sema hizo tabia sasa!!!Tetea penzi lako kwa staili nzuri sio ya kiugomvi hivi ukizingatia u mjamzito tayari! Ila tu ujiandae kisaikolojia Relax na mungu akutetee my dear I can feel you! Ni ngumu sana mwanaume kutulia na mmoja watahangaika weee ila at the end wanarudi kwa wake zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…