Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Wanawake hatupendani[emoji57][emoji57]

Hilo limalaya lake ndio linatongoza, how come uwabwatukie wanawake wenzie[emoji849]
Naunga mkono hoja kama vipi jina liweke wazi au nasema uwongo Wanawake wenzangu 😬😬
 
Hahahaha..bwana jf ana msuli huoooo!! Halafu anaonekana pia yupo vizuri kiuchumi nahisi sio kwa muonekano ule! Jiant fulani hivi ameizingggggg!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga angu na wewe unapenda muonekano mzuri wa mtu mbona wa kawaidaaa sanaaaa binafsi Kidume wa disaini ile kuwa muaminifu ni asilimia ndogo sana.
 
Shoga angu na wewe unapenda muonekano mzuri wa mtu mbona wa kawaidaaa sanaaaa binafsi Kidume wa disaini ile kuwa muaminifu ni asilimia ndogo sana.
Wee unanisikiliza miye nachochea kuni!!! amechambwa sana wacha nimpe moyo jamani. Aisee mimi siangalii muonekano wala pesa ya mtu na sitakagi masihara linapokuja suala la kutupanga afu nikuchekee mimi!!
 
Back
Top Bottom