Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Mbona kimya tena mkuje mkuje bana![emoji144]
 
Nimetoka kumuuliza hili swali[emoji848]
 
Hehehehe naona Mary tuko wengi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa unawapiga beat kwani si wamefuatwa kama wewe ulivyofuatwa? Tena kwa ID nyingine

Deal na mchumba ako, hana staha.

Hapa ndiyo tunapokosea wanawake, tunapoacha kudeal na mkosaji.
Wanawake hatupendani[emoji57][emoji57]

Hilo limalaya lake ndio linatongoza, how come uwabwatukie wanawake wenzie[emoji849]
 
Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.
Case closed[emoji119][emoji119]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kwani shoga angu hii mada ni yako au ya mtu mwingine kama ulivyoandika kwenye uzi wako [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahaha ni ya shoga ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…