Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Sasa si anajikuta mbabe [emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hatujuagi nguvu ya ukimya na dharau wanawake wengi na hii inatugharimu mno.i know how it feels kujua mwanaume wako anachepuka na mtu mwingine hata kama hajakuoa.

Mwanaume akigundua umejua anachepuka na ukamkalia kimya niamin itamuumiza kuliko kawaida.na atakuwa na maswali mengi yasiyo na majibu.

Kusalitiwa kunachoma mno.sasa shoga etu kachemka sana kwa alichokifanya😌
 
This is too low........huu muda wa kukimbizana kugombana na wanawake waliotongozwa kama wewe unautoa wapi? Bora utafute hata udongo ule kuifurahisha mimba.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kwani shoga angu hii mada ni yako au ya mtu mwingine kama ulivyoandika kwenye uzi wako [emoji3][emoji3][emoji3]
Nilikuwa sitaki kucomment nilivyofika kwenye comment yake hiyo nimeona bado ana safari ndefu. Atagombana na wangapi?
 
[emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji1787]
Uke wenza we unauweza? Tena wa jf? Haahaaa
Kuna mambo yakufanya umuache mtu sio kutoamba bana tena anatoamba raia wa kawaida tu??? Aaaah kazi iendelee hakuna kuachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…