Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

yaan sisi humu tumekaa kistaarabu kujadili agenda nyetinyeti kupush maswala mtambuka ya nchi, kumbe huko nyuma kuna watu wana fanya mapenzi,, na mahusiano yanajibu kabisa... sio vizuri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom