[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwanaume atakutesa sana wala hapo hao kina Prisca na marry wanakutesa Kuna wengine wa Siri. Nikupe poleKutokana na pm yangu kufurika kwa onyo na ushauri kemkem nimewaelewa sitoweka id zao hapa wala picha l[emoji849][emoji849] ila mdogo wangu prisca na mary(kwamajina yenu halisi)mkiendelea mnachokifanya ntawafanya kitu hamtasahau na hivi bado wadogo hata vizazi vyenu vibichi msijishaue kupanda milima msiyoiweza mkashindwa kumaliza chuo bure na hivi kwenu hapa kimara tu[emoji41][emoji41]
Yani badala ya ku deal na baby wako una deal na waliotongozwa hyo huwa ni wastage of time na ku fight wrong battle jinsi wewe ulivotongozwa na kudaganywa na wao ni hivo hivoSasa unawapiga beat kwani si wamefuatwa kama wewe ulivyofuatwa? Tena kwa ID nyingine
Deal na mchumba ako, hana staha.
Hapa ndiyo tunapokosea wanawake, tunapoacha kudeal na mkosaji.
Halafu hapo ndio wanaume huvimbaga vichwa hawaachi, Sasa mwanaume tongoza tongoza then unalaumu waliotongozwa tena,Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] hata huyu ni mchepuko tu ka kina Marry, main chick hata hawamjui[emoji23][emoji23] nilishaapa siji ku fight wanawake wenzangu kisa wanatoka na mtu wanguHajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.
Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.
Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwanaume atakutesa sana wala hapo hao kina Prisca na marry wanakutesa Kuna wengine wa Siri. Nikupe pole
Hafu huyo mwanaume itakuwa baada ya mimba ndio anahangaika na wengine kwa sasaKwa kweli
Hajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.
Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.
Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
Mwanaume kama ashagundua kitombi anaangaika nae wa niniHafu huyo mwanaume itakuwa baada ya mimba ndio anahangaika na wengine kwa sasa
Kuna mwanaume asiye kitombiMwanaume kama ashagundua kitombi anaangaika nae wa nini
Hata akiweka haibadilishi tabia ya huyo Mwanaume atulie ajifungue ka bebi kake salamaEti anataka aweke ID na picha za wenzie pyeeeee; angeweka za huyo mwanaume muongo ili aache kupotezea muda wadada wa watu. Anajiona kafika kisa yeye kaahidiwa ndoa, but imagine mwanaume wa design hii; hujaolewa tu mmepangwa kama mafungu amd she is ready to settle for such nonsense. Picha kamili ataiona ndoani, as unajua exactly ni mahali gani anaingia ia anajitoa ufahamu. You can't keep a public di*k
Weee...sema suu!!!!!!!! Halafu mwanamke mwenzio ukifight nae ndokwanzaaa anazidisha sasa....!! Mtoa mada ashaharibiwa maisha hakuna namna...[emoji23][emoji23][emoji23] hata huyu ni mchepuko tu ka kina Marry, main chick hata hawamjui[emoji23][emoji23] nilishaapa siji ku fight wanawake wenzangu kisa wanatoka na mtu wangu
Yes wapo japo kwa uchacheKuna mwanaume asiye kitombi
Uta fight na wangapi kwa mtu aliyeamua kutumia kikojoleo chake kwa matumizi ukiona mpo wengi unasogea mtoa mada pole kwake[emoji23][emoji23][emoji23] hata huyu ni mchepuko tu ka kina Marry, main chick hata hawamjui[emoji23][emoji23] nilishaapa siji ku fight wanawake wenzangu kisa wanatoka na mtu wangu
Amechanganyikiwa masikini...mwisho apate miscarriage bure.. yeye atulize akili ajifungue salama kwanza...Hata akiweka haibadilishi tabia ya huyo Mwanaume atulie ajifungue ka bebi kake salama
Kutokana na pm yangu kufurika kwa onyo na ushauri kemkem nimewaelewa sitoweka id zao hapa wala picha l[emoji849][emoji849] ila mdogo wangu prisca na mary(kwamajina yenu halisi)mkiendelea mnachokifanya ntawafanya kitu hamtasahau na hivi bado wadogo hata vizazi vyenu vibichi msijishaue kupanda milima msiyoiweza mkashindwa kumaliza chuo bure na hivi kwenu hapa kimara tu[emoji41][emoji41]
Yes wapo japo kwa uchache
Akitaja nitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tajá mwanaume au unamuogopa
Naam MadamWengi tu. Kuna wanaume wana akili