Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Kirusiiiiiiiiiii
Best best Naomba niwe mpenzi msomaji hahaaa! Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Sitaki kesi leo make nishachoka na makesi ya watu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!
 
Unanisalimu kwa lipi mkuu?? La jf, jamhuri ana MMU?? Hahaaa sitaki kutia neno hapa miye hebu nipite kuleeeeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
hahahahahahahaa la MMU kama sio jf
 
Best best Naomba niwe mpenzi msomaji hahaaa! Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Sitaki kesi leo make nishachoka na makesi ya watu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!
tuongeze nyingine ?
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 nimekusoma shahidi nambari one hahahahahahah
Best best Naomba niwe mpenzi msomaji hahaaa! Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Sitaki kesi leo make nishachoka na makesi ya watu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Kirusiiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekusoma shahidi nambari one hahahahahahah
Haha best wewe una wachuchu wangapi humu jamani sio kwa kugombaniwa huku [emoji12][emoji12][emoji12]!!
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Siku hizi nimeacha Best baada ya kukaribia kuvunja ndoa mbili. Si unajua tena penzi likikolea husikii la shetani wala la mtoa adhana. Ila Best penzi likinoga raha sana unakuwa kama vile uko PEPONI hahahahahahaha.
Haha best wewe una wachuchu wangapi humu jamani sio kwa kugombaniwa huku [emoji12][emoji12][emoji12]!!
 
Yani badala ya ku deal na baby wako una deal na waliotongozwa hyo huwa ni wastage of time na ku fight wrong battle jinsi wewe ulivotongozwa na kudaganywa na wao ni hivo hivo

eti atawafanya kitu kibaya daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu wa kutishia tishia huwa ananiboa sana.
mpaka anakuja kulia lia JF ina maana hadi hapo keshafeli hiyo Battle
 
Siku hizi nimeacha Best baada ya kukaribia kuvunja ndoa mbili. Si unajua tena penzi likikolea husikii la shetani wala la mtoa adhana. Ila Best penzi likinoga raha sana unakuwa kama vile uko PEPONI hahahahahahaha.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] sema kweli best!!!! Ila ukiwachanganya wasipojuana si ni fresh tu au unasemaje??? Penzi likinoga utahisi dunia nzima uko pekeako wengine wote ndezi tu[emoji12][emoji12][emoji23]
 
Eti anataka aweke ID na picha za wenzie pyeeeee; angeweka basi za huyo mwanaume muongo ili aache kupotezea muda wadada wa watu. Anajiona kafika kisa yeye kaahidiwa ndoa, but imagine mwanaume wa design hii; hujaolewa tu mmepangwa kama mafungu amd she is ready to settle for such nonsense. Picha kamili ataiona ndoani, as unajua exactly ni mahali gani anaingia ia anajitoa ufahamu. You can't keep a public di*k

Yes aweke ya huyo mwanaume ili aokoe wanawake wengine wasije ingia mkenge, la sivyo atagombana na kina Mary keshokutwa mwanaume ataenda kwa kina Mwajuma.
 
eti atawafanya kitu kibaya daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu wa kutishia tishia huwa ananiboa sana.
mpaka anakuja kulia lia JF ina maana hadi hapo keshafeli hiyo Battle
[emoji3][emoji3]jf mna mambo
 
Siku hizi nimeacha Best baada ya kukaribia kuvunja ndoa mbili. Si unajua tena penzi likikolea husikii la shetani wala la mtoa adhana. Ila Best penzi likinoga raha sana unakuwa kama vile uko PEPONI hahahahahahaha.
Ila ungevunja tu Kwani nini bana [emoji15][emoji15]!! Maisha yenyewe mafupi haya!
 
Ni hatari Best halafu ni hatari zaidi pale muajiri wao ni mmoja wanajuana lakini bahati nzuri mmoja yuko Dar na mwingine Mkoani. Mapenzi haya we acha tu. 😜😜😜

Back
Top Bottom