hahah acha kabisa mzee nimetoka kumtumia pesa kidogo now anasema anaumwa na tumbo anataka kwenda hospital...ndugu yangu wanawake ni werevu sana kushinda sisi..huwezi amini mimi kuna wanawake wawili hao niliwaamini sana kudadadeki kumbe walikua wananiloga natuma hela mpaka nachanyikiwa.
Hapo mzee baba hesabu maumivu na mbaya zaid ukilogwa haujitambui mpaka atokee mtu akutoe kwenye hilo dimbwi.
Wanawake wengi wapo vizur kwenye suala la ulozi
Rule namba 1 never trust anyone!hahah acha kabisa mzee nimetoka kumtumia pesa kidogo now anasema anaumwa na tumbo anataka kwenda hospital...
ila huyu binti ukimuona haendani kabisa na mambo ya kilozi
pole sana ndugu yangu... but ulijiokoaje kutoka kwenye hayo mamboRule namba 1 never trust anyone!
Hata hao naokuambia huwezi amini kama walikua wananifanyia mchezo huo mbaya sana!Usoni ni kama watu lakini moyoni ni mbwa mwitu hatari sana! braza nina historia mbaya na hao viumbe.
mkuu punguza jazba... kuna mambo mengine yakitokea unapigwa na bumbuwazi hujui cha kufanya kwa muda huo,Wakuu hivi JF huku kule JF STORE hakunaga hata masalia ya KERBU? Make kuna watu huku wanapaswa kupigwa hata kerbu moja ya maana ili akili zikae sawa waache uzezeta kama wa huyu jamaa mzembe na mpumbavu...
...Acha upumbavu ulipaswa hilo jambo umuulize kabla hajaondoka getoni, asa umuulize asaiv je kama ashazipitisha kwa kalumanzira na ndo kaenda kwao na mganga wake kaanza kazi utafanya aje..?!