Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

ndugu yangu wanawake ni werevu sana kushinda sisi..huwezi amini mimi kuna wanawake wawili hao niliwaamini sana kudadadeki kumbe walikua wananiloga natuma hela mpaka nachanyikiwa.

Hapo mzee baba hesabu maumivu na mbaya zaid ukilogwa haujitambui mpaka atokee mtu akutoe kwenye hilo dimbwi.

Wanawake wengi wapo vizur kwenye suala la ulozi
hahah acha kabisa mzee nimetoka kumtumia pesa kidogo now anasema anaumwa na tumbo anataka kwenda hospital...
ila huyu binti ukimuona haendani kabisa na mambo ya kilozi
 
Akirudi tena nae mnyofoe zake,akistuka muulize mbona nawe ulinyofoa zangu
 
hahah acha kabisa mzee nimetoka kumtumia pesa kidogo now anasema anaumwa na tumbo anataka kwenda hospital...
ila huyu binti ukimuona haendani kabisa na mambo ya kilozi
Rule namba 1 never trust anyone!
Hata hao naokuambia huwezi amini kama walikua wananifanyia mchezo huo mbaya sana!Usoni ni kama watu lakini moyoni ni mbwa mwitu hatari sana! braza nina historia mbaya na hao viumbe.
 
Wakuu hivi JF huku kule JF STORE hakunaga hata masalia ya KERBU? Make kuna watu huku wanapaswa kupigwa hata kerbu moja ya maana ili akili zikae sawa waache uzezeta kama wa huyu jamaa mzembe na mpumbavu...

...Acha upumbavu ulipaswa hilo jambo umuulize kabla hajaondoka getoni, asa umuulize asaiv je kama ashazipitisha kwa kalumanzira na ndo kaenda kwao na mganga wake kaanza kazi utafanya aje..?!
 
pole sana ndugu yangu... but ulijiokoaje kutoka kwenye hayo mambo
 
Wakuu hivi JF huku kule JF STORE hakunaga hata masalia ya KERBU? Make kuna watu huku wanapaswa kupigwa hata kerbu moja ya maana ili akili zikae sawa waache uzezeta kama wa huyu jamaa mzembe na mpumbavu...

...Acha upumbavu ulipaswa hilo jambo umuulize kabla hajaondoka getoni, asa umuulize asaiv je kama ashazipitisha kwa kalumanzira na ndo kaenda kwao na mganga wake kaanza kazi utafanya aje..?!
mkuu punguza jazba... kuna mambo mengine yakitokea unapigwa na bumbuwazi hujui cha kufanya kwa muda huo,

ila usinipige KERBU mkuu, toa hta kaushauri kadogo kunisaidia ndugu yako
 
Fala sana ww ungemtegea kalala ungetoa nywele zko..alie uza cheni bandia nae kapewa pesa bandia
 
We mzee wa hovyo sana

unaachaje mtu aondoke na nywele zako,,, subiri urogwe tu
 
Back
Top Bottom