beatboi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 561
- 1,356
- Thread starter
- #41
hahah acha kabisa mzee nimetoka kumtumia pesa kidogo now anasema anaumwa na tumbo anataka kwenda hospital...ndugu yangu wanawake ni werevu sana kushinda sisi..huwezi amini mimi kuna wanawake wawili hao niliwaamini sana kudadadeki kumbe walikua wananiloga natuma hela mpaka nachanyikiwa.
Hapo mzee baba hesabu maumivu na mbaya zaid ukilogwa haujitambui mpaka atokee mtu akutoe kwenye hilo dimbwi.
Wanawake wengi wapo vizur kwenye suala la ulozi
ila huyu binti ukimuona haendani kabisa na mambo ya kilozi