Ushauri: Ana CPA analipwa laki tatu anataka aache kazi

Ni kweli kabisa...

Ila siyo wote... Wengine hata hawajapitia huko...
 
Mhasibu wa halmashauri bila CPA basic 710,000/=
Sasa huyu mwenye take home laki 3 sijui yuko ofisi gani?
Jamaa kadanganywa. Labda alikuwa anampiga mzinga jamaa akaamua kusema nalipwa laki tatu ha ha ha
 

umeongea ukweli na ni vizuri sana sanaaaa mkuu

Ila ningeomba uanze kuongelea na upande wa waajiri pia maana wao sio perfect creatures and treating them as such haswa kwa time hii ambapo ajira hakuna. Kuna kitu mnazidi kukipalilia

nina mengi ya kuongea based on my own experience na ya watu wangu wa karibu..
ila usiku ushaanza kuwa mwingi ni kheri nipumzike
 
Mkuu, nakuelewa sana unachosema.
Unadhani mimi namaanisha kuwa employers ni perfect creatures? I know they are not, na wapo several empoyers ambao ni washenz.i tu pia, au wahuni, wana under-pay, wana create toxic working cultures kwenye maeneo yao ya kazi, etc.
But, unajua kwa nini nime-judge huyu ni kilaza? 10 yrs you are underpaid wewe unalalama tuu, huchukui hatua yoyote upo tuu.... Una CPA, una masters unalipwa laki 3, mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne....... hadi wa kumi...? Kazi kubwa ni kulalama tuu...? Huyu lazima ni kilaza. Ni wale wasio add value yoyote ya maana kwenye organization.
Nitakupa mfano wangu mwenyewe, nina miaka 7 so far tangu nimalize internship. Sina Masters wala bado (ndo naisoma now-online), tayari nimebadilisha waajiri zaidi ya mara 5...! Why? Career growth, waajiri washenzi, economic growth, etc!
Na my current job, sikufanya application wala, i was literally head-hunted, if you know what that means. Why? Because I put 150% effort into whatever i am doing nikiwa nafanya kazi. And people notice that, na sifa haziishii kwa employer unaemfanyia kazi tu, zina spread!! Ila ukiwa seat warmer, aaahhh utapoteza muda sana tuuu, kwa sababu huna pa kwenda!! I can comfortably tell you that in the niche that i have picked in my job-industry, there are only a handful of people who are as extraordinary as I am..... Sio kwamba najisifia, but i want you to see the angle that I am coming from.
Pia, mimi employer akiwa mshenzi, I dont complain..!! I start a job search, and move the fuc.k off..!!! Na nikifanya kazi sehemu ninahakikisha na-add value kweli kweli, sio tu kuwa seat warmer.... Kila sehemu ambayo niliondoka, walikua wananibembeleza na kuniita for negotiation kwamba why am i leaving, what could they do so that i stay. Principle yangu mimi ni MOJA. Nikiona employer anani underpay au hatimizi majukumu yake ipasavyo, naanza kutafuta kazi nyingine immediately..!!
Shida pia, ukweli usemwe wabongo wengi walioajiriwa ni seat warmers tuu; Japo ukiwaambia ukweli wanakasirika. They are not ready to take efforts to be EXTRAORDINARY in what they are doing. Anyways, niishie hapa pia mkuu.
Eyce
 

well balanced 👏👏👏👏

Sikumaanisha you were wrong ila i wanted to see someone balancing hii story sababu most of time watu wanawalaumu workers au job seekers, in reality kuna bosses wachache out there who value their workers' efforts

Fact moja kubwa uliyoongea pia ambayo nilichelewa kuijua na icanicost vibaya mnoo ni kufanya attachment na working place. Inafikia hatua sehemu ishakuwa toxic, hakuna growth or anything yet you stay kwa kupoteza muda tu

na kiukweli most bosses watakupa thamani yako wakishaona kuna gap kwa absence yako...

pia bro nimejifunza vingi asubuhi hii kwenye comment yako.. Nashukuru sana and stay blessed
 
mkuu umeongea kwa hisia kali sana ,
ok asante kwa ushauri ngoja nimpatie maana nakopi na ukupaste then naprint nikampe akasome.
 

Yani ww ulieandika hii mada hapa ndio unamfanya jamaa aonekane kilaza

1. eti akiandika barua ya kuhama wanamkatalia. ofisi gani ya serikali wanamlipa mhasibu CPA laki 3?? Kama anajitolea Sawa lakini ajira CPA alipwe laki 3

2. anajitahidi kuhama lakini anashindwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio yeye take home hiyo anasema.maana tangu apate cpa hajapanda mpk jana naongea naye

Sasa ww ni kima sana, kwa hiyo unadhani ukiwa kazini ukaletq cheti kikubwa ndio mshahara unapanda???. hata kama angekuwa hana CPA asingelipwa hiyo laki 3.

Ww umekurupuka kuleta hii mada wakati hujui jakaa yupoje kazini.


Jamaa huenda ameajiriwa kwa elimu ya certificate ili hali yeye ana degree na CPA pia. sasa analipwa laki 3 ya certificate yake.

Mambo ya kufunga mahesabu na accounts za shirika hizo ni shobo zake tuu. nani alimpangia hayo majukumu
 
Mwambie aache alafu wewe umuajiri.Kama ana CPA na Masters na Bado hajui cha kuamua nafikir atulie hapo hapo alipo.Ila Kama kweli ana CPA Mwambie atume CV yake masokotz@yahoo.com.
 
haha mku umekasirika sana.
 
Thanks Mkuu for nailing. In short awe Innovative.
 
Hii comment yako inachoma had moyoni

Ngoja niiprint niiweke kwenye frame ikae sebulen aisee..duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…