Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

Mwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Na Erasmi Inyanse alishagraduate kitambo udsm bachelor of scince in Petroleum Engineering
 
Ukihitimu shahada ya udaktari unakuwa Jnr Dr, hii nafasi inawafaa vijana kwani kila tatizo utaitwa wewe, likikushinda ndiyo unawafahamisha wakubwa zako.
 
Udaktari gani wa falsafa au wa utibabu, meno, au wanyama au kupiga ngoma?
 
Kuna limitation kwa waliopita form 6, ukikaa miaka mitano mfululizo bila kujiunga na chuo unakosa sifa stahiki kwa course za afya. Kwa waliotokea kazini or diploma hii haiwahusu.

Mwambieni ajaribu then atakuja toa ushahidi hapa.

Acha kudanganya watu bana...TCU guide imeandika wapi kigezo cha umri kama criterial ya kupata admission?? Tupe evidence ya unachokisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…