Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

Ila manzi kajipata maana hakuna raha anayoiona mwanamke mbabe kama kupata mwanaume wa kumburuza 😁😁

Halafu uzuri zaidi umemzidi akili, umri, maisha hadi dhambi Ila dhiki ya ngono tu ndio inakutesa hivyo 😁😁.. Mpe hongera zake maana kakuzidi maturity mkuu

Ngoja nikanywe chai
 
Mkuu ni kupe pole Sana, kwa Hali hiyo unayo pitia. Lakini nijuze jambo moja, hakuna kiumbe dhaifu kama mwanamke na Tena mwanamke ni mwepesi Sana katika mapenzi Wala hutumii nguvu tumia akili tu na relax.

Wewe binafsi jiangalie unafeli wapi, ikijumuisha usafi wako kimwili na kiroho, toa huduma kwa wakati, ukipewa show fanya kweli kwa ustadi na ufundi yaani mpe Raha kimapenzi Hilo linaweza kuchangia kukunyima penzi kama haumridhishi mpenzi wako. Kila la kheri mkuu.
Hio nafasi ya kupewa show ndio sijaipata ili nioneshe ufundi
 
Fuatilia vizuri! kuna mawili, mosi ana mtu ambaye anampa kipochi au amekupenda wewe kwa sababu ya huduma unazompatia! Aidha jiongeze umwambie ukweli wa moyoni! Achague moja!
Hajampenda hata kidogo ila jamaa anafosi penzi ila kwa vile hela za kuliwa zipo demu kakubali kishingo upande ili ageme hela za kumnunulia zawadi mpenzi wake.
 
Ila manzi kajipata maana hakuna raha anayoiona mwanamke mbabe kama kupata mwanaume wa kumburuza 😁😁

Halafu uzuri zaidi umemzidi akili, umri, maisha hadi dhambi Ila dhiki ya ngono tu ndio inakutesa hivyo 😁😁.. Mpe hongera zake maana kakuzidi maturity mkuu

Ngoja nikanywe chai
Mwanamke kapata kanyaboya wake 😂 sipati picha anavyomtanganza kwa mashosti zake
 
Katika kosa kubwa uliowahi kufanya, ni kuishi na mwanamke nyumba moja wakati haujamuoa. Nashindwa kuelezea ila umebugi kinoma, how?

1. Kwanza hauna uhuru, yeye ndio Moderator hapo home.
2. Gharama za ajabu ajabu maana najua ww ndio unalisha "familia" na kumlisha na kumuhudumia yeye
3. Shoo za nje hauwezi kupiga.

Sasa jumlisha ivyo na kutopewa mzigo, yeye anamsaada gani kwenye maisha yako?

Tungesema anakupa ushauri, ila ushauri wenyewe tunakupa sisi.
 
Hio nafasi ya kupewa show ndio sijaipata ili nioneshe ufundi
Mtoe out weekend mnaenda sehemu tulivu mnakaa kuongea mambo yenu ya msingi hasa mapenzi na pia jaribu kumwelewesha hisia zako kwake unafanya kama kumlainisha kumbembeleza kama unamtongoza umdanganye danganye lazima akubali hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mwanamke ni mwepesi mno.
 
Mwanamke akishaona chimbo la pesa huwezi kumbadilisha nafsi! HIYO IMEENDA!
 
Back
Top Bottom