Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu.

Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha.

Binti anahitaji mapenzi ila kijana anashindwa, inshort anaona kinyaa huyu kijana, na hata akisema ajilazimishe hufanya ilimradi lakini yeye haenjoy wala kufika hali ile yakusema ameridhika.

Sasa, ananiambia anachotaka huyu binti amalize kunyonyesha, ndipo yeye aendelee. Je, hali hii huwakuta watu wengi au baadhi tu? Je, afanyaje ili binti aelewe? Maana hata kufanya ilimradi anasema hawezi ni changamoto.

Nawasilisha. Msaada tafadhari, nimekosa majibu ya moja kwa moja kwake.
 
Ngoja waje kuomba namba
 
Mkeqe ananyonyesha na K?

1. kijana mmoja alipewa mke China huko ila hapati mimba baada ya miaka mingi dokta kaja kugundua anafanya nyuma
2. Kuna Mzee na mke walikuwa wanafanya kwenye urethra ya mwanake over years ikaja tanuka coz alishindwa kuingiza ukeni na kudhania urethra ni uke
3. in 1980s Kijijini huko mke anavua nguo mume anKimbia nje kumwambia baba yake huyu mwanamke uliyenipa ana kidonda hana kama yangu


kifupi mpe kijana darsa kuna dogs style na za kumwaga hata huo mtindi hatouona
 
Kuna siku nilienda na mke wangu kufungua kadi kliniki daktari akamwambia mke wangu kwamba"uache kuvaa viatu vya mchuchumio au hills kwasababu ya usalama wako na mtoto aliyeko tumboni halafu pia umeshakuwa mama tayari na siyo binti tena" sasa inakuwaje tena binti ana mtoto?🤔🤔
 


Ina relate vipi na hoia ya mleta hoja...
 
Ndio mana madem wanao nyonyesha wanachapwa sana kimasihara,kunbe chanzo ndio hiki
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?,mtu akijifungua baada ya siku 40 ngoma inaendelezwa
Dume la nyani

Kila sehemu kuna tamaduni. Uchagani napotokea mwanamke hatakiw kuguswa miezi sita

ila mjini tunapeleka moto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…