Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

Yeah hiyo sawa,wanasema una mbemenda
Mtoto ukiwa unakula huku ananyonya
Hivi hii innazuia ukuaji wa mtoto?

Mke wangu alivyojifingua mama alitaka aende kuishi nae kwake japo nilikataa. Wazazi walifanya hivi hapo zamani ili kumpa mama nafasi ya kujijenga kiafya
 
Kitaalamu hii ni lazima ucheat
Tatizo dunia ya sasa tumetawaliw na ngono sana kichwani

Nataka mwaka huu nitafute hela kwa uchung mwisho wa mwaka nataka nikamate mpunga mrefu. Naanza rasmi kuachana na kuwaza K. Plus mke wangu anafanyiw operation next month atakaa mda mpaka apone. Nitajiunga na no fal challenge wanipe moyo😄😄😄😃
 
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu.
Anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati.
Wamebarikiwa kupata mtoto.
Tatizo lilipo sasa.
Anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana anashindwa , inshort anaona kinyaa huyu kijana. Na hata akisema ajilazimishe hufanya ilimradi lakini yeye haenjoy wala kufika hali ile yakusema ameridhika.
Sasa!!
Ananiambia anachotaka huyu binti amalize kunyonyesha, ndipo yeye aendelee.
Je! Hali hii huwakuta watu wengi au baadhi tu?
Na je! Afanyaje ili binti aelewe? Maana hata kufanya ilimradi anasema hawezi ni changamoto.
Nawasilisha. Msaada tafadhari, nimekosa majibu ya moja kwa moja kwake.
Aache ujinga wa kuminya na kukamua maziwa,binti aoge maji yaliyotiwa iliki,mdala sini kukata shombo ya maziwa
 
Hivi hii innazuia ukuaji wa mtoto?

Mke wangu alivyojifingua mama alitaka aende kuishi nae kwake japo nilikataa. Wazazi walifanya hivi hapo zamani ili kumpa mama nafasi ya kujijenga kiafya
Ni kweli ndiyo , ndiyo hiyo kumembenda mtoto hatakua vizuri
 
Mkeqe ananyonyesha na K?

1. kijana mmoja alipewa mke China huko ila hapati mimba baada ya miaka mingi dokta kaja kugundua anafanya nyuma
2. Kuna Mzee na mke walikuwa wanafanya kwenye urethra ya mwanake over years ikaja tanuka coz alishindwa kuingiza ukeni na kudhania urethra ni uke
3. in 1980s Kijijini huko mke anavua nguo mume anKimbia nje kumwambia baba yake huyu mwanamke uliyenipa ana kidonda hana kama yangu


kifupi mpe kijana darsa kuna dogs style na za kumwaga hata huo mtindi hatouona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kuwa Kuna wanawake wananyonyesha miaka miwili? Sasa miaka miwili hiyo akae na ukame tu mdada wa watu? Mhimize usafi na huyo dogo anaekataa kumpa haki mkewe mwambie aache style za kuatamia ambazo aligundua Babu mpaka mjukuu anazitumia. Kama shida ni kinyaa basi mke na ajifunge kitenge au kanga kwenye maziwa, akae style isioonesha maziwa au kufanya wagusane vifua.
 
Back
Top Bottom