Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

Yeah hiyo sawa,wanasema una mbemenda
Mtoto ukiwa unakula huku ananyonya
Hivi hii innazuia ukuaji wa mtoto?

Mke wangu alivyojifingua mama alitaka aende kuishi nae kwake japo nilikataa. Wazazi walifanya hivi hapo zamani ili kumpa mama nafasi ya kujijenga kiafya
 
Kitaalamu hii ni lazima ucheat
Tatizo dunia ya sasa tumetawaliw na ngono sana kichwani

Nataka mwaka huu nitafute hela kwa uchung mwisho wa mwaka nataka nikamate mpunga mrefu. Naanza rasmi kuachana na kuwaza K. Plus mke wangu anafanyiw operation next month atakaa mda mpaka apone. Nitajiunga na no fal challenge wanipe moyo😄😄😄😃
 
Aache ujinga wa kuminya na kukamua maziwa,binti aoge maji yaliyotiwa iliki,mdala sini kukata shombo ya maziwa
 
Hivi hii innazuia ukuaji wa mtoto?

Mke wangu alivyojifingua mama alitaka aende kuishi nae kwake japo nilikataa. Wazazi walifanya hivi hapo zamani ili kumpa mama nafasi ya kujijenga kiafya
Ni kweli ndiyo , ndiyo hiyo kumembenda mtoto hatakua vizuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kuwa Kuna wanawake wananyonyesha miaka miwili? Sasa miaka miwili hiyo akae na ukame tu mdada wa watu? Mhimize usafi na huyo dogo anaekataa kumpa haki mkewe mwambie aache style za kuatamia ambazo aligundua Babu mpaka mjukuu anazitumia. Kama shida ni kinyaa basi mke na ajifunge kitenge au kanga kwenye maziwa, akae style isioonesha maziwa au kufanya wagusane vifua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…