Ushauri: Anapendwa na Mke wa mtu

Kuna jamaa jirani ninapofanyia kazi, kafumaniwa na mke wa mtu; mwenye mke akamwambia achague moja kati ya kichapo au kufirwa.

Jamaa akachagua kufirwa.

Alifika eneo hilo akiwa na gari yenye mzigo wake kupeleka sokoni Dar.

Kutokana na kadhia hiyo, asubuhi yake gari ilitangulia na yeye akachelewa na kuifata mchana.

Jamaa ana hali mbaya sana kisaikolojia maana watu wote wanaofanya naye kazi na vijiweni wanajua maana ni mtu maarufu pande hizo.
 
Usi waamini hao wake za watu wanakuaga waongo. Ukitaka kujua Kama waongo ngoja ufumaniwe. Utasikia mumewangu nakupenda shetani alinipitia.
 
Hivi wanawake wote ambao hawajaolewa hamuwaoni mpaka “mdate” na wake zetu..?
Vijana mna shida sana
 
Kataka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…