Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

Asikusumbue huyo, labda anajambo lake.
Mie sijaacha hard core life style, pamoja na kwamba nina mke na saizi tuna 8 kids...🤨
Hizi ndio fikra zangu, kama kanielewa muhuni basi hana budi kuishi maisha yàngu, period!
 
Ka

Matatizo ya wadada wanahisi maisha ya Korean movie ndo uhalisia 😂😂😂
Mwambie hii ni bongo halisi sio movie hataki aende Korea aone kama atapata mtu wa hivyo
Masela tupo live na maisha hahah.
 
Akikukzia utupe mrejesho… mtu anapowekeza upendo kwako na wewe wekeza kwako


Yaani mimi mahusiano na mwanaume wa tabia Kama zako sitoboi maana nahisi kuumia kila siku

Mwanaume anatakiwa ajue kubalance mambo sio wewe ni wa hivyohivyo kila siku
Mama mzungu, kumpenda nampenda na analijua hilo, shida anadai ni namna ninavyopresent hayo mapenzi ni kwa kihardcore.
 
swali la kwanza Je, huyo binti ni mwanachuo ?
 
We mzee weweee 8 kids??? 😀
Kuna jamaa aliwahi kunishangaa eti nina watoto wengi, nami nikamuuliza kwamba amelinganisha na nini??
Yaani.....
Unatumia kipimo kipi ili kujua kwamba nina watoto wengi ama wachache..🤔
 
Mama mzungu, kumpenda nampenda na analijua hilo, shida anadai ni namna ninavyopresent hayo mapenzi ni kwa kihardcore.

Geuza hayo unayomfanyia akufanyie wewe utajisikiaje… ubinafsi mbaya Sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…