Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

Asikusumbue huyo, labda anajambo lake.
Mie sijaacha hard core life style, pamoja na kwamba nina mke na saizi tuna 8 kids...🤨
Hizi ndio fikra zangu, kama kanielewa muhuni basi hana budi kuishi maisha yàngu, period!
 
Ka

Matatizo ya wadada wanahisi maisha ya Korean movie ndo uhalisia 😂😂😂
Mwambie hii ni bongo halisi sio movie hataki aende Korea aone kama atapata mtu wa hivyo
Masela tupo live na maisha hahah.
 
Akikukzia utupe mrejesho… mtu anapowekeza upendo kwako na wewe wekeza kwako


Yaani mimi mahusiano na mwanaume wa tabia Kama zako sitoboi maana nahisi kuumia kila siku

Mwanaume anatakiwa ajue kubalance mambo sio wewe ni wa hivyohivyo kila siku
Mama mzungu, kumpenda nampenda na analijua hilo, shida anadai ni namna ninavyopresent hayo mapenzi ni kwa kihardcore.
 
Wakuu,

Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya mboga basi focus yangu kubwa kwa mda mrefu imekuwa ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta financial freedom.

It's been a while, over 5+ years sijakuwa kwenye mahusiano serious, hata mabinti ninaokutana nao huwa nawaambia toka mwanzo kuwa sina mpango wa kufanya mahusiano nao ya serious, just having some fun na kuzagamuana tu, wengi wamekuwa wakielewa hilo.

Hivi karibuni nimejikuta kwenye penzi zito na mtoto wa "kiburushi" toka kusini (anaishi dar) nimekuwa nae kwa kipindi Cha miezi kadhaa naona anakila sifa za kumfanya awe wife, shida inakuja moja, huyu binti amekuwa akilalamika mno kuwa nimezidisha Usela sana kwake, hata ninavyomtreat ni kama msela mwenzangu, kuanzia kumtext, na hata mazungumzo yetu, anadai anataka ajifeel kama mtoto wa kike/mpenzi na si vinginevyo, anasema sipo romantic kwake kitu ambacho mimi kinanipa wakati mgumu coz ninavyoishi ndio maisha yangu huko kuwa romantic anavyotaka yeye mimi najionea shida, nampa mtahitaji yake yote, namfanya rafiki lakini changamoto ndio hiyo binti anataka mapenzi ya kwenye sinema na luninga mimi sijazoea ukizingatia nina mda mrefu sipo kwenye mahusiano.

Mnisaidie ndugu zangu msela Mimi nisimpoteze mrembo huyu.
swali la kwanza Je, huyo binti ni mwanachuo ?
 
We mzee weweee 8 kids??? 😀
Kuna jamaa aliwahi kunishangaa eti nina watoto wengi, nami nikamuuliza kwamba amelinganisha na nini??
Yaani.....
Unatumia kipimo kipi ili kujua kwamba nina watoto wengi ama wachache..🤔
 
Mama mzungu, kumpenda nampenda na analijua hilo, shida anadai ni namna ninavyopresent hayo mapenzi ni kwa kihardcore.

Geuza hayo unayomfanyia akufanyie wewe utajisikiaje… ubinafsi mbaya Sanaa
 
Back
Top Bottom