Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?

Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo.

Mazingira sio poa ni kijiji ndani huko, maduka mawili tu ya mpesa, benki mpaka utoe nauli ya elfu 6 ndio unafika.

Soma Pia: USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi
Mwambie aache ujinga, anataka kuacha kazi na pakuanzia hana, mkumbushe tena mwambie huku kitaa ni kwa moto sana
 
Back
Top Bottom