Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Vijiji vingi kama sio vyote vina changamoto ya maji, umeme, hospital na kuduma za kibenki yaani kwa ujumla vijijini hakuna huduma za kijamii kama ilivyo wilayani na mijiniWewe huelewi hata ulichokiandika, vijiji vya Tanzania vinafanana?
Kuna mwalimu anaweza kulalamika yupo Uchagani mazingira magumu? Vijiji vina umeme na maji tangu mkoloni na walimu na mapadre wanaheshimika sana.
Maisha ni vile unavyotaka wewe yawe sijamlazimisha mtu kukaa kijijini nimesema kwa nafsi ya umoja kuwa binafsi maisha ya kijijini nayapenda sana kwani hayo yanayoitwa maendeleo ni perception za mtu kulingana na malengo na ndoto zake