hah
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 507
- 1,004
Nami Nitahakikisha Nae ataahidi nisimpe mwingine na nimchape Kwa Kasi Ile IleSawa mkuu, nakutumia muda si mrefu; jitahidi umfundishe adabu ki kweli kweli 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami Nitahakikisha Nae ataahidi nisimpe mwingine na nimchape Kwa Kasi Ile IleSawa mkuu, nakutumia muda si mrefu; jitahidi umfundishe adabu ki kweli kweli 😀
😀 😀 😀 itakuwa vizuri kama utalifanikisha hiloNami Nitahakikisha Nae ataahidi nisimpe mwingine na nimchape Kwa Kasi Ile Ile
😀 😀 😀 itakuwa vizuri kama utalifanikisha hilo
Kwa Jambo nzuri kama Hilo,,lazima Iwe vizuri na ni lazima kulifanikisha kiuhakika na ni Fahari pia kwangu Mimi Janamume😀 😀 😀 itakuwa vizuri kama utalifanikisha hilo
Nenda na Chupii 👙👙ya Kuombea Msamaha kama huzijui kaulizie madukani ndio malegendary tunavyofanyaga mkuu😂😂😂😂Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu.
Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe' wengi walikuwa wakiingia na kutoka, kwa bahati mbaya kuna mdada mmoja nilikuwa nimemzoea kipindi cha nyuma, ila sina mahusiano naye; ila kwa kilichotokea jana nimegundua ana hisia na mimi.
Baada ya kulewa sana, ikabidi niondoke na mpenzi wangu kurudi nyumbani; tukabiga shoo zetu kabambe kama mnavyojua equation x huwa hazembei kwenye hayo mambo.
Mtoto akawa analia, anasema,'' equation x uwe unanipa kila siku, na usimpe mwingine; nenda spidi hivyo hivyo usimwage bhana''.
Kutokana na maneno hayo, huku akitoa kwa sauti ambayo sijaizoea, nikaona kama vile muumba amenipendelea.
Wakati nipo napumzika (half time) mida ya saa nane na nusu usiku, ujumbe ukaingia kwenye simu yangu kutoka kwa yule dada, ukisema; ''equation x uko wapi kuna tatizo limetokea linakuhusu wewe mwenyewe tu jitahidi unione sasa hivi''
Nikauliza tatizo lipi na linahusu nini?, akanijibu si vizuri kuongelea au kuchat kwenye simu we njoo tu.
Nikamwambia bebi wangu, nimepata ujumbe hapa nashindwa kuuelewa, ebu amka twende tukausikilize; kutokana na bibie kuwa amechoka, akaniambia we nenda tu utanijulisha.
Mi nikawa na wasi wasi, ni kitu gani kimetokea? Ikabidi nimshtue jamaa yangu wa karibu, nikamwambia ebu twende eneo x nimepata ujumbe nina mashaka nao, jamaa akasema poa.
Nikachukua kasalio kidogo, nikaenda sehemu husika; mara namkuta yule mdada yupo peke yake anapata kinywaji; nikamuuliza kulikoni kuniita huo usiku wa manane.
Akasema nimekumis tu na nina hisia na wewe; nilitamani nimzabe vibao, lakini akili nyingine ikaniambia mtu akikuambia hisia zake ni vizuri pia kuzi heshimu; basi nikaagiza maji na juisi yeye akawa anapiga zake pombe.
Muda haujakaa sawa, rafiki wa bebi wangu alikuwa pale akaniona na kunifuata mezani na kuniuliza, ''bebi mama umemuacha wapi?''
Nikamjibu yupo nyumbani amepumzika, amesema hawezi kutoka tena; akaniuliza, ''na hapa unafanya nini?'', nikacheka tu; ikabidi nimnunulie savana 2 akaondoka.
Sasa leo asubuhi imekuwa ni siku ya kusuluhisha migogoro; hapa nilipo sina uhakika kama nitapewa shoo jioni.
Mbaya zaidi, niliwatambia humu, nimepata mpenzi mwenye sifa zilizopitiliza.
Wakuu nipeni ushauri
😀😀😀Kwa Jambo nzuri kama Hilo,,lazima Iwe vizuri na ni lazima kulifanikisha kiuhakika na ni Fahari pia kwangu Mimi Janamume
Magonjwa ni mengi yanaua na huo ni mmojawapo; tafuta pisi kali ule maishausisahau UKIMWI UNAUA. ndio ugonjwa hatari na wa kutisha. utameza ARVs hadi kifo.
Zikoje hizo?Nenda na Chupii 👙👙ya Kuombea Msamaha kama huzijui kaulizie madukani ndio malegendary tunavyofanyaga mkuu😂😂😂😂
Njoo tuubiri injiliAcha uhuni
Zina kamkanda kamoja kanapita hpo katikati ya ikweta na vishanga kwa mbali oyaa Subiri waje watakuelekeza chuplii za kuombea msamaha😂😂Zikoje hizo?
Wenye viuno vikubwa kuna saizi zao kweli? Nisije nikampelekea ikawa haimtoshi 😀Zina kamkanda kamoja kanapita hpo katikati ya ikweta na vishanga kwa mbali oyaa Subiri waje watakuelekeza chuplii za kuombea msamaha😂😂
Yani zote Zipo ni wewe uwahi madukani ukamnunulie hicho kifuniko cha Asali😂😂😂 Usije ukanyimwa utraam na mvua hizi za kupanda na Palizi za Masika mkuu ukinyimwa unaeza kufa na utamu wako kama Noah🐷🐷🐷Wenye viuno vikubwa kuna saizi zao kweli? Nisije nikampelekea ikawa haimtoshi 😀
Equation x rafiki yangu una mke kweli wewe ama janja janja nyingi?
[emoji15][emoji15]Mke wa tisa? Ebu pata kiinua mgongo kwanza alafu tutaongea [emoji23][emoji23][emoji23]Nina wake mkuu, ingawa mmoja ndio anayetambulika madhabahuni na ndio mwenye haki zote; hawa wengine tunasaidia kuwalea na kupeana furaha, si unajua wanaume halisi tumebaki wachache sana, kwa hiyo inabidi kuwapa kampani nao wafurahie maisha.
Vipi kuhusu lile ombi langu, la kuwa mke wa tisa 😀
Sasa tutafanyaje sasa, tunajua na nyie mna hisia inabidi tuwapende tu; kuhusu kiinua mgongo, nipatie kwanza watoto watatu wanaofuatana 😀[emoji15][emoji15]Mke wa tisa? Ebu pata kiinua mgongo kwanza alafu tutaongea [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiii watoto watatu wote hao jamani mbona wengi [emoji23][emoji125][emoji125]Sasa tutafanyaje sasa, tunajua na nyie mna hisia inabidi tuwapende tu; kuhusu kiinua mgongo, nipatie kwanza watoto watatu wanaofuatana 😀